JF Tuanzishe Online Radio.... Wadau Mnaonaje Hii Issue | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Tuanzishe Online Radio.... Wadau Mnaonaje Hii Issue

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by VoiceOfReason, Dec 9, 2010.

 1. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Administratiors na Wanajamvi naona tuanzisheni Online Radio ili iwe kama another medium ya mtandao wetu wa JF........

  Gharama sio kubwa na wanajamvi tunaweza kuchangia pia vipindi napendekeza viwe ni hizi topics Mtangazaji mmoja anaweza akawa anarekodi (kusisoma na kuzichambua) na kusoma comments za watu..... Faida ni kwamba hatuhitaji kibali ambacho in case ya normal radio tusingepewa na since server inaweza kuwa je ya nchi itakuwa ni vigumu hawa wenye nchi kutubania....

  Therefore people all over the word can be listening on their internet mobiles au kwenye their laptops and desktops.

  Na since habari zimo humu humu kwenye mtandao there is no need kwa mtu kutafuta habari ni kusoma comments tu za humu ndani... Pia kutakuwa kuna vipindi tofauti at different times e.g siasa, michezo, international news, mahusiano n.k.
   
Loading...