zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
- Thread starter
- #21
mkiona kimya mgeni wangu yupo busy sana mpaka hapa stdio...anaongea sana na simu Mara anataja Leaderz mara Gari nyeusi,wasikilizaji Muwe na Sabra au subira
rutta wakuu wa shule zote nao ni waalim kama sisi, na wanatakiwa kugoma ila sasa kwasababu nafasi zao wakati wa kuchaguliwa kuwa wakuu wa shule hupitia njia tofauti kabisa na walivyo chaguliwa waali manake hawa ni appointees basi wao kwako ni mtego sana wachache sana wenye moyo wanaona ni kawaida wakiingia na hawaogopi ila wengi wao wanahofia. tulicho washauri ni kwamba waupige chini ukuu wa shule manake unadhamana kubwa sana kisha watujoin kama waalim wa kawaida.sawa kabisa mnaweza mkawa mmefanya maamuzi mazuri kwa kudai haki yenu.
Katika migomo kuna usaliti na tumeanza kuona na kupata taarifa kuwa kuna watu au walimu hasa wakuu wa shule kutoshiriki mgomo. Hili unalizungumziaje?
Na swala ambalo nimelipata muda si mrefu kuwa kuna ongezeko katika mshahara, je ni kweli?
rutta wakuu wa shule zote nao ni waalim kama sisi, na wanatakiwa kugoma ila sasa kwasababu nafasi zao wakati wa kuchaguliwa kuwa wakuu wa shule hupitia njia tofauti kabisa na walivyo chaguliwa waali manake hawa ni appointees basi wao kwako ni mtego sana wachache sana wenye moyo wanaona ni kawaida wakiingia na hawaogopi ila wengi wao wanahofia. tulicho washauri ni kwamba waupige chini ukuu wa shule manake unadhamana kubwa sana kisha watujoin kama waalim wa kawaida.
ukiangalia kwa umakini utagundua kwamba mkuu wa shule ndiye aliyekabidhiwa shule majengo samani na vingine leo hii akilala nyumbani halafu kule wanafunzi wakafanya fujo wakaharibu mali za shule jamania maisha yake yatakuwa hatiani sana. tumewashauri kwakua wanaumoja wao wa TAHOSSA basi wa declare kuupiga chini ukuu wa shule ama watume halmashauri kulinda majengo yao wao watujoin ila kuingia kama sisi ni hatari kwao.
kuhusu nyongeza ya mshahara sijakuelewa unamaanisha mshahara wa mwezi huu ama tunataka nyongeza ya mshahara?
yaah nimeona bandiko jukwaa la siasa kuwa kuna ongezeko kama Tsh 30000 je ni kweli?
Na ikumbukwe watu ambao wangefanya mgomo huu ni walimu wa kuu sasa napata mkanganyiko mgomo huu kuwa na nguvu kama walimu wa kuu hawata shiriki kwani ni nguzo muhimu! Unaonaje hapa
je serikali ikisema kuwa mwalimu atakaye goma kufanya kazi amepoteza kibarua kama ilivyo kuwa kwa madaktari! Kwa hili mmejiandaa vipi? Je mko tayari kupoteza vibarua?
FirstLady1 nipo mamito ila si unajua leo nina injinia mambo mengi yaaani sijatulia hata kidogo.Naona yuko kwenye mgomo huyo mhusika gfsonwin
khaaaaaaaaaaaaaaaa! bakora mpaka studio?? hufai hata kwa kulumangia, lol! shemeji yangu mzima weye?
FirstLady1 nipo mamito ila si unajua leo nina injinia mambo mengi yaaani sijatulia hata kidogo.
nakuja babito kumbuka tuko kwenye mgomo so swtlo ni wewe tu, hii ni yako hadi uchoke.
khaaaaaaaaaaaaaaaa! bakora mpaka studio?? hufai hata kwa kulumangia, lol! shemeji yangu mzima weye?
Kipindi kimeisha sweetlov,....huyu mtangazaji simwamini amini sana.....tutaendelea kesho
Swali lingine kwa mgeni!
Tumekuwa tukisikia walimu kuto udhuria vipindi na wengine kuto onekana maeneo yao ya kazi kwa vipindi virefu mpaka wengine ufikia kufanya biashara zingine na kuacha vipindi mashuleni, lakini inapokuja swala la kudai maslai yao wana kuwa wakali. Hili una liongeleaje? Na unatoa wito gani kwa walimu wa namna kama hii ambao wanapenda kutendewa haki na wao hawapendi kutenda haki?