JF studio_kipindi hewan....tutakuwa na gfsonwin atazungumzia mgomo wa Walimu..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Leo studio tutakuwa na Mwalimu Teacher gfsonwin mtamwuliza maswali nae atawajibu na kueleza kwanini wamegoma...maswali yabebe ujumbe wa kuwakomboa walimu.

karibu gfsonwin embu tuambie wewe ni nani?
Msione kimya umeme umekatika tuna connect solar power.
 
Last edited by a moderator:
Swali kwa mgeni
je wamejiandaa vip na mgom, je ni mgomo husio na kikomo? Au ni mgomo wa kupima mabavu ya serikali?. Kwani ukumbukwe kwamba serikali ilisha sema swala hili liko mahakamni na ikitokea mkatishiwa kupoteza vibarua vyenu mta kimbilia wapi?
 
humu kuna nyuzi zaidi ya 50 kuhusu mgomo wa walimu naona tushawachoka bora tuwasikilize UAMSHO tu..
 
changu ala fimbo.jpg

uamsho kazini

attachment.php
 
mgeni wangu mwalikwa hapatikan hewan..nina wasisi lbda wamemteka na kumpeleka msitu wa makande....nafatilia ntawajuza...
 
Swali kwa mgeni
je wamejiandaa vip na mgom, je ni mgomo husio na kikomo? Au ni mgomo wa kupima mabavu ya serikali?. Kwani ukumbukwe kwamba serikali ilisha sema swala hili liko mahakamni na ikitokea mkatishiwa kupoteza vibarua vyenu mta kimbilia wapi?

Mgeni nahc kama katekwa naelekea kumcheki kwenye Tv ya asili.
 
Leo studio tutakuwa na Mwalimu Teacher gfsonwin mtamwuliza maswali nae atawajibu na kueleza kwanini wamegoma...maswali yabebe ujumbe wa kuwakomboa walimu.

karibu gfsonwin embu tuambie wewe ni nani?
Msione kimya umeme umekatika tuna connect solar power.

ahsante sana ndugu yangu zubedayo_michuzi.
awali ya yote naomba radhi kwa kuchelewa kufika studio nilikuwa bize na harakati za kuinjinia mgomo na sasa ndo nimekuja kupumzika kidogo.

haya nianze kwa kujibu swali lako kama ulivyo uliza mimi ni mwalimu ninaye fundisha masomo ya Physics &CHEMISTRY kwa A- level.
 
jibu swali langu pale juu!
 
Last edited by a moderator:
Swali kwa mgeni
je wamejiandaa vip na mgom, je ni mgomo husio na kikomo? Au ni mgomo wa kupima mabavu ya serikali?. Kwani ukumbukwe kwamba serikali ilisha sema swala hili liko mahakamni na ikitokea mkatishiwa kupoteza vibarua vyenu mta kimbilia wapi?

mgomo huu tumejiandaa vyema sana kwamba hatuogopi wala hatutishwi na mtu wala cheo chake kwa hapa tulipofikia. hauna kikomo na wala hautakuwa nacho mpaka pale serikali itakapo sikiliza na kutekeleza hoja zetu za msingi. swala la ishu iko mahakamani sisi hilo halituhusu manake mara zote serikali hukimbilia mahakamani kukandamiza watu but for us teachers this is what we want wajifunze kwamba tunapower na tunadai haki yetu wala siyo ombi.

kuhusu kufukuzwa kazi huu mgomo ni haki ya mfanyakazi na ulifuata taratibu zote zinazotakiwa kisheria na hata certificate inayoonyesha kwamba majadiliano ya usuluhishi kati ya serikalai na waalim yaligonga mwamba therefore next step ni boycotting na hapa tutakuja na demonstration siku chache from today ambayo itafanyika nchi nzima wilaya zote.
 
sawa kabisa mnaweza mkawa mmefanya maamuzi mazuri kwa kudai haki yenu.

Katika migomo kuna usaliti na tumeanza kuona na kupata taarifa kuwa kuna watu au walimu hasa wakuu wa shule kutoshiriki mgomo. Hili unalizungumziaje?

Na swala ambalo nimelipata muda si mrefu kuwa kuna ongezeko katika mshahara, je ni kweli?
 
Mbona unauliza wewe tu au umeagizwa
 
Back
Top Bottom