JF Standup comic special thread | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Standup comic special thread

Discussion in 'Entertainment' started by NGULI, Jan 28, 2010.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Stand-up comedy is a style of comedy where the performer speaks directly to the audience/ila hapa itakuwa JF Members/guests, with the absence of the theatrical "fourth wall"

  "A comic says funny things; a comedian says things funny," which draws a distinction between how much of the comedy can be attributed to verbal content and how much to acting and persona.

  Haina limitation unaweza kumtania mtu yeyote humu jamvini au hata nje ya jamvi.

  Kwa mfano...

  Invisible ni kijana aliyefanikiwa kibiashara akaanzisha duka kubwa pale mlimani city linaitwa JF kofuli original za mitumba shop. Ila wafanyakazi wake walikuwa wanamwibia sana akatumia mbinu zote za kufunga kamera za kisasa lakini bado watu wakawa wanaiba kama kawa. Akaweka walinzi maalumu na wenye vifaa ya kisasa kama marungu na kofia na suti za kijani/askari/mgambo wa jiji milango mikubwa bado uizi ukazidi.Akawa anawasachi kwa kuwavua nguo na kucheki wakati wa kuondoka kama wamevaa kofuli zaidi ya moja lakini wapi wote wako safi na wamevaa kofuli 1 tu.

  Siku moja akaota ndoto kwa nini nisiwacheki/kuwakagua kabla hawajaingia ndani kuanza kazi ile asubuhi na mapema? ndio akagundua huwa wafanyakazi wote 50 hwajavaa makofuli wote na ndiko akagundua ahaaa

  tuendeleee
   
 2. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Bado nashindwa ni nani nimwanzishie!
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Anza na mimi/Bujibuji au yule member mpya watu wanayempiga vita.
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hahahahaha, juzi nilikaribishwa 'wali' aaaagh una mchanga kibaoo......you know what im saying?
   
 5. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nguli,

  Nimecheka sana. Nimejaribu kutafuta nikakosa kabisa, kweli ubloomer kazi kweli kweli.
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Umekosaje au umesahua? ngoja nikukumbushe kichekesho kimoja alichokitoa baba yako kule UK unakumbuka siku ile lile tangazo la mtu yeyote anaeishi UK mwenye watoto 10 atapewa milioni 400 za kitanzania alivyoreact?

  Alikuwa na watoto 9 ikabdi aende pale Kitumbure Bar/Pub kwa yule mwanamke aliyezaaa nae akamchukue yule wa nje amlete wawe 10 ili ashinde kitita cha mamilion ya shilingi laikini alivyorudi home akakuta na mama Mahai amechukuwa wale 9 amewapeleka kwa bilogical father wao? kwa hio mzee Mahai akabakia na mtoto 1 tu na ndoto yake ya umilionea ikayeyuka umekumbuka sasa????
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Hii nayo kali ilitakiwa ihamishiwe kwenye hii thread hapa great thinker anelezea deepest feeling kwa avatar na maandishi. Akikaribishwa kwenye ile parade inayopigwagwa kule Swasland wakati Mswati anatafuta Mke wa 20 hachelewi kubaka huyu great thinker.
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  yaani hapo mmmh umefikiri mno! kweli we unaweza kuwa ze great na sio kanumba!
   
 9. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hahahaaa kweli umenikumbusha mbali sana. Unakumbuka kipindi kile unafanya kazi ya uplumber na unaendesha truck nyeusi wakati bujibuji ni electrician na dani ni surgeon? Truck yako uliandika kwa nyuma "dont sleep with a drip call your plumber" na bujibuji truck yake akaandika "let us remove your shorts" na dani pale kwenye mlango wake ofisini idara ya upasuaji akaandika "hello, can we pick your nose"!!
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Sasa wewe nguli,
  Nasikia kwamba mama akipika ugali waga huli...teh teh...unasingizia eti munkali wako unapanda sana ukipikiwa wali au biriani! Haya, mama kachemka kupika ila kuna mtu humu jamvini ni mfundaji wa wake za watu kwani hata 'wali' anajua kupika vizuri. Hicho kiburi chako sio kizuri na hakina thamani mkuu, acha kutumia msuli, kumbuka umasikini jeuri sio siri...

  *** Nguli, umeiona hiyo, vipi hapo nimepatia?
   
 11. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Samahani nilikuwa bize nikashindwa kukujibu maswali yako hivi ulipata majibu? nakumbuka uliniuliza ungependa kuwa toilet paper nikashtuka sana nikakwambia bora uwe mswaki hivi mpaka sasa umeamua lipi kuwa mswaki hata wa mti kijijini au kuwa toilet paper? tafadhali nasubiri jibu ili tuendelee na thread.
   
 12. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hahahahahaha....mmmh...
  umenikumbusha kitu Nguli...
  Kuna jamaa yangu alikuwa na dem sasa walikuja kugombana na dem akamwita msela eti anamganda kama inzi...dah jamaa aliumia sana. dem alianza kutembea na msela mwingine. basi jamaa yangu alibwaga manyanga kwa style kali sana!
  alimwandikia barua chafu na kusema asante kwa kuwa haunitaki tena mimi niliye inzi kwako sasa nakuandikia barua hii wewe kinyesi usiyetaka kufatwafatwa!!! jamaa aliandika barua katika tissue paper ya pink...'what a shame'....demu alifungua barua mbele za shoga zake, mbona alitia akili....
   
 13. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha walikuwa 4m 2 au maana ndio za watoto watu wazima wanaachana kimya kimya. Nimecheka sana.
   
Loading...