JF sets new record! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF sets new record!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Jan 22, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Most users ever online was 3,659, Today (Jan 22, 2010) at 02:22 PM.

  Abnormal
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  JF idumu daima!
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Hao ni users within a second wanaokuwa wapo, uki-refresh unakutana na namba mpya. Hits zinabadilika. This' a new record kuwa na idadi kama hiyo ndani ya sekunde moja.

  Meanwhile, JF hits zimeongezeka; hatujafikia mwisho wa Januari tayari zishazidi 50milion kwa Januari hii tu!
   
 4. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  NAONA familia inakuwa sasa!.....
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,548
  Likes Received: 18,218
  Trophy Points: 280
  Thanks Inv. Japo wengine bado kimya kwenye kitufe, tuko pamoja. Tunasubiri tumalizane na mchaka mchaka wa back to school, halafu tutie timu tukupe shavu.
  Keep it up!.
  JF Idumu!.
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Thanks Robot!!! what was the old record?
   
 7. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  I feel proud to be within those hits, within the new record, within the history. Viva JF.
   
 8. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2010
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,215
  Likes Received: 2,077
  Trophy Points: 280
  Nadhani ndo sababu sometimes huwa JF inasinzia, walaji ni wengi.
  Let's pay for that usage buddies!
   
 9. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #9
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Most users ever online was 3,486, 25th May 2009 at 04:58 PM
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Are you there? Mzee namiss PM zako.....Msalimie!

  We raise high JF Flag

  Beyond Borders JF is keep us together

  Many thanks to Premium Members

  God Bless JF Admin
   
 11. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #11
  Jan 22, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Boss, hiyo inainclude visitors au ni members tu? JF ni maarufu kuliko tunavyofikiria!
   
 12. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #12
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hongera JF, hakika hili ni jukwaa kwa watz
   
 13. _ BABA _

  _ BABA _ JF-Expert Member

  #13
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  viva jf.......
   
 14. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #14
  Jan 22, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Mkuu hiyo ni record ya users Members and non members (wachunguliaji) katika sekunde moja. Natafuta lugha rahisi ya kutumia lakini naamini unanisoma. Ukiangalia front page utaelewa, uki-refresh page utaona namba zinabadilika tu. Zinaweza kupanda au kushuka kadiri mtu mmoja anavyoingia na mwingine anavyofunga browser yake.
   
 15. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #15
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Well said mkuu IDIMI........!

  Mi sikuwa kny hiyo hit, ndo nachungulia now......but sounds good to have a such fast growing family!

  Kama alivosema mkuu Idimi.....yes, wakati tukifurahia mjazano huo, tukumbuke pia kuwa michapano kugombea access, speed, quality ya forum hii inakuwa kubwa na kuwapa challenge kubwa sana wakuu kina Robot.....hii nafikiri iwe changamoto zaidi kwa ss members kutoa ubani, kuchangia gharama ya tunachokipenda na kufurahia......!

  Mkuu....Robot wacha hangovers zinazokuja na NEW year zipite.....utaonwa tu mkuu!

  Cheers!
   
 16. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #16
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Aisee!Hapo mimi sijahesabiwa,maana sikuwa hewani mida hiyo.JF ni kiboko.
   
 17. n

  nyakyegi Member

  #17
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 2, 2009
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hapa wanaingia wanaoipenda JF na wasioipenda, record itaendelea kuvunjwa kwa mwaka huu kadri uchaguzi unavyokaribia.
   
 18. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #18
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Robot Hongereni sana pamoja na team yako yote
  ujue media hii imekua sana na unapaswa sasa kuipeleka kunakohusika (kwa jamii)
  kwani kuna watanzania wanaotaka kuhabarishwa lakini hawajui who to trust.

  Naamini Jamii inaweza na mtaweza kuiweka ktk jukwaa kubwa zaidi. Mnangoja nini mkuu?
   
Loading...