JF Search: Yu wapi Boniphace Makene?

labda alitaka kutuhabarisha kwamba yuko wapi na anafanya nini, eh?
kama kawaida yake lazima umtambue mapema...utamtambuaje kama amejiunga naoooo ..oh..oh...:) pesa mwanaharamu, ole wao wanaouza utu wao kwa ajili ya vijisenti ni sawa na kumuuza baba na mama yako :(
 
JAMAA ANA gesticulate kama Nyerere.
ila hata kama ni mapungufu basi jamaa anayo ya kibinadamu ambayo wote wanayo.
Ila akiamua kuandika makala zake, hakika utasisimka kuanzia utosini hadi nyayoni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom