JF Scheduled Maintenance: June 13, 2020

Safi sana siku hizi hadi huku kwenye browser tena kupitia
Free basic tunainjoi muonekano mzuri
 
Melo asante kwa taarifa swali wakati wa uchaguzi au siku ya uchaguziJF inazimwa kabisa kuna nini?
Nani kasema JF itazimwa kabisa siku ya Uchaguzi? Au ndio unauliza?

Taarifa hii inahusu saa kadhaa zijazo, haitazimwa bali kutakuwa na downtime kwa wengi na ni kutokana na ufafanuzi niliotoa hapo juu
 
Nani kasema JF itazimwa kabisa siku ya Uchaguzi? Au ndo unauliza?

Taarifa hii inahusu saa kadhaa zijazo, haitazimwa bali kutakuwa na downtime kwa wengi na ni kutokana na ufafanuzi niliotoa hapo juu
Hujaelewa swali lake mkuu. Anataka kujua ni kwa nini kila ikifika au kukaribia kipindi cha uchaguzi JF inazimwa?
 
Nani kasema JF itazimwa kabisa siku ya Uchaguzi? Au ndo unauliza?

Taarifa hii inahusu saa kadhaa zijazo, haitazimwa bali kutakuwa na downtime kwa wengi na ni kutokana na ufafanuzi niliotoa hapo juu
Melo nina uzoefu na chaguzi mara nyingi unasema tutaweka miundo mbinu kadha wa kadha sasa najiuliza Melo alisema anaweka ulinzi wa mtandao lakini ifikifika wakati wa uchaguzi utashangaa taarifa, jamani kutokana na kadhia hii na hii mtandao haukuwa hewani rejea uchaguzi wa 2015
 
Back
Top Bottom