mourisous
JF-Expert Member
- Jan 19, 2016
- 443
- 267
K-K-N,
Sikuipendekeza rangi nyeusi kati ya zile rangi nyinginezo kwa sababu ni default color ya maandishi hapa JF. Naomba unielewe kuwa sidharau rangi nyeusi hata chembe lakini pia sidharau rangi nyingine pia maana zote ni rangi ila nyingine zina strike-out more easily kimaandishi. Hizo rangi nyingine pia kama tungekuwa tumezizoea hapa na zingekuwa default colors, usishangae ningejikuta natamka rangi nyeusi kama pendekezo langu. Sasa hapa sijui ungeniambia pia naonyesha ubaguzi wa rangi au...?! I don't know!
Kiasili za kibinadamu, ninaheshimu rangi nyeusi kwa hali na moyo wangu wote, ingelikuwa credit card, basi ningeheshimu kama 'american express black card'. Kama nilivyosema rangi nyeusi kwenye mtandao ni default kama tu ilivyo kwenye vitabu vingi vya dini, cha kutatanisha ni kuwa rangi hiyo hiyo inatumika kwenye maandishi mengi pia ya kuendeleza maovu! Natumaini nimeeleweka.
Ahsante.
SteveD.
Unadhani utakuwa ulipitiwa tuu mkuu n' kama ulivyoeleza hukuwa Na adhma ya kuidharaulisha rangi bt uliiandika katika kundi la watu wasiotoa ndo maana [IMAGE 26] Steve Dii aliyasema hayo
By the way umeelewa vizuri mkuu