Wana JF
Kwa dhati ninapenda kutoa pendekezo langu kwa JF administrator na wana jf kwa ujumla, kwa vile tumekua tunatoa michango mingi yenye manufaa makubwa kabisa katika jamii na maendeleo ya taifa haswa katika nyanja za siasa, hivyo ninaomba mawazo, michango na maoni haya tunayotoa kuhusu masuala mbalimbali tuyapime uzito wake na ukweli wake kwa kuyapigia kura ndani ya JF floor.... hii itatoa dira halisi ya wazo (post) iliyotolewa... na kwakuwa wanaochangia kwenye JF ni watu wenye upeo na uelewa na inafanyika very random kama statistics inavyotaka...(sampling)... hivyo kuliko kusubiri Synovet na Redet walio kibiashara zaidi na kwa maslahi wanayojua wao wana JF wanaweza kutoa mwelekeo wa mambo ya kijamii na kisiasa kama opinion poll organ hivyo tukawanufaisha wananci wetu kwa kuwapa mtazamo wananchi kwa yale yanayojiri... JF web administrator anao uwezo mkubwa wa kutayarisha page itakayo endesha mchakato mzima wa kupiga kura online
Hii itakua changamoto kubwa katika kuboresha uchangiaji wetu katika mijadala ya nyanja za siasa zinazozaa maendeleo katika taifa letu
Ahsante sana
Naomba Kutoa hoja