Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,204
- 13,176
Yaani mambo ya ajabu kweli. Maana hata hayaelewekiMambo ya ajabu ajabu mkuu..hebu ona hapo nilipokaa na hiyo posture
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mambo ya ajabu kweli. Maana hata hayaelewekiMambo ya ajabu ajabu mkuu..hebu ona hapo nilipokaa na hiyo posture
KitamboBaadhi ya Maraisi wa zamani wa Africa je utawajua wangapi hapo
Ukishindwa niulizeView attachment 1823457
Dah,watu hawa waliibeba Africa mioyoni mwao..Kumbukumbu zao hazitafutika duniani.View attachment 1822666
Mwenye malapa ni Kawawa,hapo alivunja kabati,Mungu awarehemu hawa mashujaa wetu
Wakiwa na mwenyekiti wao a.k.a mchonga.
Simba wa vita
Angelikuwa na 50 miaka leo hii
Mkuu,tusaidie hapa kidogo..maelezo.. naona kuna utamu
Kitambo
Greatest African womenHistoria itakumbukwa kwa hawa kina dada weusi wasomi waliofanya kazi NASA miaka hiyoView attachment 1824052
View attachment 1824051
Ilikuwa bonge la wimbo lililokusanya mastaa kibaoWe are the World
USA for AFRICA View attachment 1824001