vivii
Member
- Jun 15, 2021
- 48
- 73
Hii sisi tulisoma sadiki na sikili
Hii sisi tulisoma sadiki na sikili
Ila Mpoki alipigika
Kuna muendelezo wa hii familia kwenye kizazi cha sasa cha mjini?😊.. Watoto wake?? Ndugu yake yoyote ndani ya wapigaji wa escrow? Richmond?Yeah kifungo kirefu lakini alikuja kutoka
Naambiwa mama yupo bongo sina hakika lakini watoto pia nasikia wapo ila ni wakubwa sasaKuna muendelezo wa hii familia kwenye kizazi cha sasa cha mjini?.. Watoto wake?? Ndugu yake yoyote ndani ya wapigaji wa escrow? Richmond?
Msure alikua na vipaji lukuki ila soka tu ndio hakuipenda😀😀😀
Alikuwa ni mtaalamu wa michezo tofauti tofautiNaona mwl anamnyoosha mtu hapo
Duh aibu
Hivi Mondi alifanya plastic surgery? Jamaa alichoka kishenzi huyu na kila demu alikataa mbegu yake.
GagboView attachment 1981476
Ni nani huyu?
Sante kiongoziYeah kifungo kirefu lakini alikuja kutoka