Uchaguzi 2020 JF ni kiboko, Tundu Lissu ajibu swali la nani atagharamia kampeni za CHADEMA!

Mo mliyemteka ili awape bilion 7???? Rostam mliyemkamata kaka yake ili aje kuunga juhudi mkono???

CCM mtajua hamjui mwaka huu nawaambia

yaani cdm bana, yaani kila event mnasema ni ccm? yaani hata mzee wa konyagi isingejulikana ameanguka kwenye ngazi mngesema ccm! sku mkiweza kujenga hoja zenye mashiko nadhan ndo mtaanza kukaribia kushika nchi ila kwa saaahv hawa waliopo izi akili znatengenezwa sehem moja tu
 
Wanajua majibu anayo Lissu. Lissu akifanya fund raising leo nauhakika hata bil 50 atakusanya. Kwanza matajiri wengi walioumizwa na magu lazima wamchangie
Wenye maduka ya kubadili pesa za kigeni waliotolewa kazi kisa vyeti kisha Daudi Bashite akabakia akiwa hana vyeti, wahindi waarabu waathirika wote wa utawala huu wa kupenda kesi kesi haramu za kuwakomoa watu
 
yaani cdm bana, yaani kila event mnasema ni ccm? yaani hata mzee wa konyagi isingejulikana ameanguka kwenye ngazi mngesema ccm! sku mkiweza kujenga hoja zenye mashiko nadhan ndo mtaanza kukaribia kushika nchi ila kwa saaahv hawa waliopo izi akili znatengenezwa sehem moja tu
Mbowe alipigwa na Lijuakali akiwa na Msukuma walivaa mask, baada ya shambulio walikimbilia majumbani mwao ndiyo maana hawakuonekana kupita getini, CCM wanaihujumu chadema kwa kila hali hilo halina ubishi
 
Aliyetunga hiyo story ana hali mbaya huko Kilombero. Wajumbe wenu hadi kwenye udiwani wamempa kura 5. Endelea kuamini story ambazo waliozitunga Mungu ameshawaadhibu.
 
kwan ni issue ya alietunga story, yaani ata ile report ya polisi ni inaonyesha wazi kabisa, wewe unavamiwaje alafu unashindwa kumuita mtu alieko nyumban kwako unapiga simu, mawazo ya wana cdm hua yanafanana na ni watu wa kufuata mihemko
 
Mbowe alipigwa na Lijuakali akiwa na Msukuma walivaa mask, baada ya shambulio walikimbilia majumbani mwao ndiyo maana hawakuonekana kupita getini, CCM wanaihujumu chadema kwa kila hali hilo halina ubishi

aya mskieni uyu mwingine uku
 
Back
Top Bottom