JF namba 9 kwa umaarufu barani Africa

Status
Not open for further replies.

KadaMpinzani

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
3,747
0
walioweka namba 9 ni akina nani ? maana hata sie hapa twaweza kufanya vivyo hivyo, yaani kuandikisha sites then kuzipa namba kutokana na uamuzi wa mwanachama !
 

Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,411
2,000
sasa KM si ufanye research yako? jamaa kaleta habari...what else do you want? wewe fanya utafiti wako....acha mambo ya old school......
 

Lekanjobe Kubinika

JF-Expert Member
Dec 6, 2006
3,019
2,000
Kinachokosekana katika habari hiyo ni kutueleza sababu ya kuithamini hiyo list yenye namba ya 9 kwa JF, yaani ni vigezo gani vimetumika kuandika ipi iwe 1 na ipi iwe 38. Was it scientifically based or a haphazard listing. Tukijua vigezo vya numbering tutaamua kuipa umuhimu namba hiyo au la.

Leka
 

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Apr 27, 2006
12,668
0
Mkuuu JF ni namba 8.

See the Top Sites by country: Top sites

1 So Close
After being So Close for so long, I have finally arrived. Life after infertility.
Country: South Africa Add to MyGator

2 Cheap Flights South Africa
The blog is a relentless quest to expose the best and cheapest flights to, from and within South Africa.
Country: South Africa Add to MyGator

3 SA 4x4 Community Forums
Meeting place of all SA 4x4, overland, camping and outdoor enthusiants
Country: South Africa Add to MyGator

4 Rugby World Cup 2007 - myRugbyNews.com All The Rugby World Cup Information you want!
All The Rugby World Cup 2007 News, Results, Fan Pics and more. Live from France 2007.
Country: South Africa Add to MyGator

5 ChumpStyle
Country: South Africa Add to MyGator

6 Thought Leader
Thought Leader is an editorial group blog of quality commentary and analysis, edited by the M&G Online
Country: South Africa Add to MyGator

7 East Coast Radio Newswatch
Just another WordPress weblog
Country: South Africa Add to MyGator

8 Jambo Forums

Jambo Forums: Tanzania's Online Community Message Board
Country: Tanzania Add
 

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,555
0
walioweka namba 9 ni akina nani ? maana hata sie hapa twaweza kufanya vivyo hivyo, yaani kuandikisha sites then kuzipa namba kutokana na uamuzi wa mwanachama !

sasa KM si ufanye research yako? jamaa kaleta habari...what else do you want? wewe fanya utafiti wako....acha mambo ya old school......

Labda hao ambao wangepata taarifa za JK wkaipita humu huwa hawaelewi kiswahili sembuse huko kukisoma lakini wao wanampa Credits

 
M

MegaPyne

Guest
About AfriGator

Afrigator is a social media aggregator and directory built especially for African digital citizens who publish and consume content on the Web.


You can use Afrigator to index your blog, podcast, videocast or news site (i.e. any site that publishes an RSS feed) and market it to the rest of Africa and the world. You can also use it to discover new sites in the Afrosphere.

Kwa research yangu, nitaelezea jinsi hiyo top sites inavyofanya kazi.

Unapokuwa registered na kuwa mwanachama wa AfriGagtor, unapewa HTML code za kuweka kwenye website yako, ili waweze ku hesabu trafic inayotoka kwao kuja kwako na pia kuhesabu trafic yako na kulinganisha na website zingine kwenye database yao.

Mpaka sasa JF imetoka kutoka Number 9 iliyokuwa jana na sasa ni number 8
 

Hasara

Senior Member
Dec 29, 2006
143
0
HONGERA JF tunaungana na Kenya na Hganda, Burundi, Rwanda itakuwa ya kwanza kumbe hata JF ina julikua duniani.
hongera sana wana JF
 

Kibunango

JF-Expert Member
Aug 29, 2006
7,856
2,000
Pamoja na kushika nafasi ya juu huko Afrigator, ni ukweli usiofichika kuwa JF inaboa kabisa katika sehemu hiyo ya Afrigator kwa upande wa Tanzania. Kurasa yote ya website hiyo upande wa Tz umejaa topiki za JF, hivyo kuondoa maana yote ya sehemu hiyo kuwa na mchanganyiko wa blog mbalimbali za Tanzania.

Utawala kama mnaweza kurekebisha kadhia hii, itakuwa ni jambo la manufaa zaidi, kwani kule sio kwa JF pekee!
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom