JF Music Mpeleka wapi?

RedDevil

JF-Expert Member
Apr 30, 2009
2,367
1,519
Jamani, nimekuwa nikitumia JF kujikumbusha nyimbo kadhaa za taarabu, Gospel, Bongo Flava nk. Lakini naona mmeitoa, kulikoni tena? Nauliza maana mwenzenu hapa JF nikama nyumbani vile. Nikiwa huku ughaibuni najipa raha mwenyewe kupitia JF.
 
Invisible et al wanaelewa sana tunavyoboreka kwa kuikosa hii forum ya myuziki!
Please, the crew, ASAP, do something in needy..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom