JF Msaada: Genuine Car Air fresheners in Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Msaada: Genuine Car Air fresheners in Dar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Brooklyn, Nov 20, 2009.

 1. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #1
  Nov 20, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Naombeni msaada wana JF! Shemeji yenu sijui ni uzee au vp? Kila akienda dukani kununua air freshener za magari basi anaingizwa mkenge kwa kuuziwa air freshner feki. Amejaribu kubadili brand na maduka lakini mchezo umekuwa ndo huo huo.

  Alipojaribu kunidokeza, mi nikamlaumu kwamba inakuweje wanamuuzia air freshener feki. Akaniambia anaomba nimnunulie mimi, wiki iliyopita nimemnunulia lakini mchezo ni ule ule. Mzee imebidi niwe mpole, ngoma imekaa siku nne tu, kwisha kazi. Wote tumekuwa tunanunua maduka ya maeneo ya posta.

  Je wana JF ni maduka yapi angalau wanauza air freshener za magari original na brand gani ni super for women!!
   
 2. K

  K4jolly JF-Expert Member

  #2
  Nov 20, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulizia supermarket ya shorppers plaza.
   
Loading...