Wakuu salaam,
Naomba kujua ni wapi Morogoro naweza kupata chakula safi na chai ya jioni safi-gharama sio shida
Niko Morogoro na nitakuwa hapa kwa siku 7.
Ningefurahi kama ni sehemu karibu na mjini.
Natanguliza shukurani.
TMK
Jaribu kutembelea Ze Club au 4 star, kuna mademu wa SUA na Mzumbe unaweza kung'oa hata kwa 1,000 tu.
Jaribu kutembelea Ze Club au 4 star, kuna mademu wa SUA na Mzumbe unaweza kung'oa hata kwa 1,000 tu.
Pita maeneo ya Draigonea njia ya Bigwa. Ukitaka malaya nenda Kahumba.
Ziko mitaa gani hizo??Jaribu kutembelea Ze Club au 4 star, kuna mademu wa SUA na Mzumbe unaweza kung'oa hata kwa 1,000 tu.
Nikitoka Igunga na jamaa zangu kutoka Ulaya wale waangalizi wa uchaguzi wa kimataifa tapita hapo Morogoro tutumie pesa za UN kidogo
mmh,jamani au mimi sijaelewa mada..chai ya jioni ???