JF Moderator ni Facilitator kwenye semina yetu hapa Iringa

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Mmoja wa mamodorator wa JF tuko naye hapa iringa kwenye semina iliyoandaliwa kwa waawaandishi wa habari kutoka Tanzania nzima.

Moderator huyu(jina naliifadhi) ni mmoja wa facilitator kuhusu New media master class hasa uandishi katika online journalism na changamoto anazopata akiwa JF.

Nikiwa member nimefurahi sana kumuona moderator huyu

Hata mimi hanijui lakini kwa kuwa mada yake ataitoa kesho nitaishusha live
 
sio huyu?
avatar399_5.gif
 
sio huyu?
avatar399_5.gif


siyo Max,

We subiri nitawajulisha atakayosema kuhusu JF,kama akisema uongo akidhani hakuna member wa JF inakula kwake.Ngoja tu namsubiri kwa hamu sana atupige shule juu ya mabo hayo
 
Sasa ndugu Rutunga unategemea atasema uongo gani umuumbue?
Atasema Maria roza hajawahi kuingia kwenye lile jukwaa lake na Ivuga? Au atasema malaria sugu haongei pumba?
 
Rutunga vipi kiti moto ya Iringa na baridi ya Iringa. Bila shaka unaifaidi! Niletee kilo 10 tutakutana ubungo ukiwa unarudi.
 
Back
Top Bottom