JF Moderator ni Facilitator kwenye semina yetu hapa Iringa


Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Messages
1,616
Likes
296
Points
180

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2009
1,616 296 180
Mmoja wa mamodorator wa JF tuko naye hapa iringa kwenye semina iliyoandaliwa kwa waawaandishi wa habari kutoka Tanzania nzima.

Moderator huyu(jina naliifadhi) ni mmoja wa facilitator kuhusu New media master class hasa uandishi katika online journalism na changamoto anazopata akiwa JF.

Nikiwa member nimefurahi sana kumuona moderator huyu

Hata mimi hanijui lakini kwa kuwa mada yake ataitoa kesho nitaishusha live
 

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2008
Messages
10,938
Likes
206
Points
160

Ndibalema

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2008
10,938 206 160
Sasa ndugu Rutunga unategemea atasema uongo gani umuumbue?
Atasema Maria roza hajawahi kuingia kwenye lile jukwaa lake na Ivuga? Au atasema malaria sugu haongei pumba?
 

Forum statistics

Threads 1,203,823
Members 456,939
Posts 28,130,907