Jf members woooote, mnakaribishwa!!!!

STIDE

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
997
350
Saalam wakuu.

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifikisha pale nilipokuwa napatumania kwa mda mrefu!!

Nachukua nafasi hii kuwakaribisheni nyote wana jukwaa hili pamoja na uongozi wote wa JF katika ARUSI yangu itakayofanyika nyumbani kwetu Bukoba tarehe 20-Dec-2013.

Kwa watakaokuwa tiyari kuhudhuria mnaweza kuni-PM (kwa lengo jema) kwa ufafanuzi zaidi.

KARIBUNI SANA!!!

STIDE.
 
Ukumbi upi? na je tunachangia kiasi gani kufanikisha harusi yako?
 
Jameni sio lazima aeleze kila kitu, changanyeni na zenu!
Harusi ni gharama, shikeni hata 20K, itampunguzia ukame wa siku japo mbili!

wengine hawana ukame.......ametoa mwaliko kama anahitaji mchango anakuwa wazi uanasubiri achanganye na zake thubutu.......siku hizi hata zawadi maharusi wanapendekeza kuendana na fedha iliyopo sio unakwenda kununua kitu ambacho tayari maharusi wanavyoo
 
Saalam wakuu.

Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifikisha pale nilipokuwa napatumania kwa mda mrefu!!

Nachukua nafasi hii kuwakaribisheni nyote wana jukwaa hili pamoja na uongozi wote wa JF katika ARUSI yangu itakayofanyika nyumbani kwetu Bukoba tarehe 20-Dec-2013.

Kwa watakaokuwa tiyari kuhudhuria mnaweza kuni-PM (kwa lengo jema) kwa ufafanuzi zaidi.

KARIBUNI SANA!!!

STIDE.

Kaka hiyo red hapo juu sijaelewa. We ni muhamiaji haramu? Maana huko mpakani cna imani nao sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom