JF members waliotangulia mbele ya haki...R.I.P | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF members waliotangulia mbele ya haki...R.I.P

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by queenkami, Jan 9, 2012.

 1. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hellow wakuu.

  Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku hivyo aje awajulishe kuwa queenkami is no more.

  Hii imenifanya nifikirie kuwa labda baadhi ya wenzetu ambao tulikua nao humu siku zote kisha wakapotea moja kwa moja labda wameshatangulia mbele za haki.

  Pamoja na kuwa wengine wanaweza kuwa wameamua kuwa wasomaji au kubadilisha ID lakini nina amini wapo wenzetu waliofariki bila sisi kufahamu.

  Ni Chetuntu tu ndiye tuliweza kufahamishwa kuwa member mwenzetu hatunaye tena.Na dedicate wimbo huu kwa Chetuntu na wengine wote waliotutangulia.R.I.P.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,987
  Likes Received: 691
  Trophy Points: 280
  Hebu fanya tuonane ....... mimi nipo Kibaigwa, kama upo dasalama, mimi nitakuja ijumaa, naleta mahindi hapo tandale, tuonane tuelewane tujuane halafu tukifa, watu wapewe taarifa humu jamvini. au wewe unasemaje?
   
 3. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,168
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  R.I.P Chetuntu
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ni mwaka sasa tangu umetutoka Jafar. Mungu akupe mapumziko mema huko ulikotangulia.
   
 5. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Dah! Queen kami..... Umewaza nini dear? Ujumbe wako umenigusa na kunifanya nimkumbuke ODM (for ndie alie tutaarifu msiba wa Chetundu).

  Hapa JF tunaweza tusijuane but tumejenga bonds na some of the members.... Uraiani twaonana na watu wengi na tumejenga mahusiano mpaka (atleast to me) napenda the anonymity ya hapa JF, wawasiliana na watu vizuri kabisa na you can feel wawajua hali you don't know them.... sometimes it makes it so perfect sababu inakua kama "Alice's wonder land" .... What I am saying hapa ni kua in reality hatujuani... but naamini member ambae nawasiliana nae kwa karibu aweza niuma kama vile namjua.... Na kumbuka na wenzetu wengine wana bahati na wajuana....

  Nimependa Thread yako.... Naungana na wewe.... "Wa innalilaah wa innallilah rajun" Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema awarehemu wale woote walotangulia mbele ya haki. Ameen.
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Namkumbuka Kandambilimbili(RIP)!
  Huenda siku moja atarudi atujulishe kama huko alipo kuna JF au kitu kinachofanana nayo!
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Jan 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Sisi wengine tukifa itakuwa vigumu sana kwa watu kujua humu.
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  napita hapa wakuu,........r.i.p Chetuntu
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  kwa nini mkuu.
   
 10. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  r.i.p chetuntu,queen umeongea la maana sana.kuna haja ya kutafuta mtu humu anijue kiukweli
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Au kama vip wewe umfuate huko huko aliko ukamuulize ili uje utujuze wadau mkuu(joke)
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Jan 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Nipo tayari kukujua just in case. What say you?
   
 13. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  This world is not my home ....., am passing thru ....:A S cry:
   
 14. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  ingekua jambo zuri sema mie niko mbali na dar.
   
 15. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #15
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mwanga wa milele uzidi kummulikia,amina.
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi nikikaribia kuondoka ntawajulisha.

  RIP kwa waliotangulia.
   
 17. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #17
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kuna member nilikua nawapenda sana siku lkn siku hizi siwaoni,na walionesha sana kuipenda sana JF ndo nikapata mawazo kuwa huwenda wako kama mm na labda wamefariki hivyo hakuna wakutujulisha.Kwa kweli kuna member humu nawapenda sana kwa michao na picha niliyojijengea juu yao hivyo japo sijui hata wanafananaje nawezaa kulia nikisia wametutoka.So ni mawazo kama haya ndo yamekua chanzo cha hii thread..

  Hapo blue amina.
   
 18. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #18
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  pumzika kwa amani mpenzi wetu kandambili.R.I.P
   
 19. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #19
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  R.I.P chetuntu
   
 20. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #20
  Jan 9, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  NN ukiondoka(Mungu apushia mbali) nitaomboleza mwaka mzima
   
Loading...