Mi sinilidhani tuna post picha zetu za kikwelii, kumbe picha jinsi unavyofikiri former anaonekanaje, basi mi nilipost mipicha yangu baadae nikagundua sivyo nikazishusha, teh tehNdinda wewe ndio hako ka cartoon? Lol
hahaha! Naelewa kaka, hio picha ya kitambo... Enzi mnakua kua...
I am humbled Baba_Enock... Regards kwa Mama_Enock... Hii picha niliifuma kwa mwaJ (wapili toka kushoto), wakiwa kwenye sherehe ya birthday ya niece wangu Elizabeth Dominic (hapo kati), hapo wakiwa na BelindaJacob (dada mweupe kuliko wote) pamoja na Viper (kaka wa kwanza kushoto), Blaine (kati kati) na aliye baki ni Zogwale... (Zogwale everbody exists at JF, their visibility reliant on their preference.. lol)
Niliruhusu mwenye BW, Basi tu inatokea once in a while upweke unatinga na usingizi kupaa.... hahaha!
Ukiwaona hawa kaka zangu waambie natuma salamu za upendo, na kuwa hii picha nilipewa na Mrembo by Nature (dada aneonekana kwa uficho sana akiwa na natura hair hapo kulia). Toka kulia Mwita Maranya, Speaker, Geza Ulole, Safari_ni_Safari, Mtumishi Wetu, engmtolera na Genecius Kaiza
Chezeiya kufanya internship ya intelligence chini ya WomanOfSubstance hapo chini? hahaha!
Besti,
Umeamua liwalo na liwale?
Haya bana ngoja basi niiweke hapo kwenye avatar kabisaaa yaishe.
hahaha! wewe mbona umepotea hivo? sio vizuri... NAFURAHI kuiweka kama Avatar... Really humbled. Hapa tumuombe mkuu Invisible atusaidie kuirekebisha ikae sawa...
WoS naamini u mzima wa afya tele and kicking like Crazy kwa muonekana wa sura yako hapo kwenye avatar... hoto:
Really GLAD to see you...
Nyani Ngabu Kashika condom kama au macho yangu ya uzee??
Nyani Ngabu Kashika condom kama au macho yangu ya uzee??
FirstLady1 is that you? Kwa kweli mashallah... So beautiful!
Sasa Nyani Ngabu siutoke huko ulipo uje ututoe dukuduku jamani!! AshaDii mstue huyu kiumbe!!Hahahaha! Nyani Ngabu msaada please... Umeshika nini hapo?
Hahahahaha mie ndio yule mwenye koti hahahahahaahaDah! ndio mana kanuna? nimechanganya na ile ambayo haipo konfidesho... lol.. Hizo nyonyo ziache hivo hivo, akikusikia klorokwini mnaweza kosana kabisa... hahaha.. As usual nimefurahi kukuona shemeji yangu, hopefully karibu utatutembelea na familia yako... lol
Hawa watu umewaona wapi?
Mwanajamione, Nyamayao, Maty, DaMie, Smiles, carmel, daughter na Mayasa... kama una habari nae yeyote hapo tafadhali waambie ninawatafuta naoza binti nahitaji msaada wao... lol Hapo tayari nisha onana nao kama Remmy, Yummy, charminglady, feis buku na Gaga (aliegeukie kule kavaa koti lekundu)
Nimefurahi umefurahi kaka DC... Na hilo la plus one wangu inabidi nitafute suluhisho... lol
Mzee wangu mbona unanitafutia case? Tena kaka Paw ana hasira za karibu kweli kweli! lol, yeye mwanaume bana hebu kacheki ile picha vizuri.... hahaha! Nimekuwekea na hii hapa alipiga na kakangu mwingine Steve Dii
Hapana Fidel nilikuwa kwa bed tu... mzima wewe? Unamfahamu zumbemkuu na Daudi mchambuzi? (hapo wakiwa na Consigliere ambae ni mzungu)
I am humbled... Ukiwaona akina Boflo, Elia, Escobar, Smiling Saint, njiwa, ndyoko, jouneGwalu, Nzi, Bishop Hiluka, The Priest (toka kulia) na Pdidy (huyo dogo hapo chini) waambie natuma salamu za dhati na kuwa picha yao nimetunza vizuri... lol
Uringe??!!
Uringe??!!