JF Members in their real pictures... LOL!

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,462
0
hahaha! Naelewa kaka, hio picha ya kitambo... Enzi mnakua kua...I am humbled Baba_Enock... Regards kwa Mama_Enock... Hii picha niliifuma kwa mwaJ (wapili toka kushoto), wakiwa kwenye sherehe ya birthday ya niece wangu Elizabeth Dominic (hapo kati), hapo wakiwa na BelindaJacob (dada mweupe kuliko wote) pamoja na Viper (kaka wa kwanza kushoto), Blaine (kati kati) na aliye baki ni Zogwale... (Zogwale everbody exists at JF, their visibility reliant on their preference.. lol)

619-02082974w.jpg


Niliruhusu mwenye BW, Basi tu inatokea once in a while upweke unatinga na usingizi kupaa.... hahaha!

Ukiwaona hawa kaka zangu waambie natuma salamu za upendo, na kuwa hii picha nilipewa na Mrembo by Nature (dada aneonekana kwa uficho sana akiwa na natura hair hapo kulia). Toka kulia Mwita Maranya, Speaker, Geza Ulole, Safari_ni_Safari, Mtumishi Wetu, engmtolera na Genecius Kaiza

BlackMen.jpg
Chezeiya kufanya internship ya intelligence chini ya WomanOfSubstance hapo chini? hahaha!

Julia_Sebutinde.jpg

Besti,
Umeamua liwalo na liwale?
Haya bana ngoja basi niiweke hapo kwenye avatar kabisaaa yaishe.
 

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,221
1,500
Besti,
Umeamua liwalo na liwale?
Haya bana ngoja basi niiweke hapo kwenye avatar kabisaaa yaishe.


hahaha! wewe mbona umepotea hivo? sio vizuri... NAFURAHI kuiweka kama Avatar... Really humbled. Hapa tumuombe mkuu Invisible atusaidie kuirekebisha ikae sawa...

WoS naamini u mzima wa afya tele and kicking like Crazy kwa muonekana wa sura yako hapo kwenye avatar... :photo:

Really GLAD to see you...
 

Gaga

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
4,562
1,195
Dah! ndio mana kanuna? nimechanganya na ile ambayo haipo konfidesho... lol.. Hizo nyonyo ziache hivo hivo, akikusikia klorokwini mnaweza kosana kabisa... hahaha.. As usual nimefurahi kukuona shemeji yangu, hopefully karibu utatutembelea na familia yako... lol

Hawa watu umewaona wapi?
Mwanajamione, Nyamayao, Maty, DaMie, Smiles, carmel, daughter na Mayasa... kama una habari nae yeyote hapo tafadhali waambie ninawatafuta naoza binti nahitaji msaada wao... lol Hapo tayari nisha onana nao kama Remmy, Yummy, charminglady, feis buku na Gaga (aliegeukie kule kavaa koti lekundu)

african_americans_breast_cancer.jpg
Nimefurahi umefurahi kaka DC... Na hilo la plus one wangu inabidi nitafute suluhisho... lol
Mzee wangu mbona unanitafutia case? Tena kaka Paw ana hasira za karibu kweli kweli! lol, yeye mwanaume bana hebu kacheki ile picha vizuri.... hahaha! Nimekuwekea na hii hapa alipiga na kakangu mwingine Steve Dii

big-brother-best.jpg
Hapana Fidel nilikuwa kwa bed tu... mzima wewe? Unamfahamu zumbemkuu na Daudi mchambuzi? (hapo wakiwa na Consigliere ambae ni mzungu)

img%5Cafrica%20-%20bethany%20house%5CDSC02049.jpg
I am humbled... Ukiwaona akina Boflo, Elia, Escobar, Smiling Saint, njiwa, ndyoko, jouneGwalu, Nzi, Bishop Hiluka, The Priest (toka kulia) na Pdidy (huyo dogo hapo chini) waambie natuma salamu za dhati na kuwa picha yao nimetunza vizuri... lol

south-sudan.jpg
Hahahahaha mie ndio yule mwenye koti hahahahahaaha
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom