Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,579
- 50,666
Awali ya yote kabisa nimshukuru Mungu wa Mbinguni ambaye ndiye tegemeo letu sote iwe kwenye raha au shida. Na azidi kushukuriwa Mungu huyu huyu kwa kunrejesha katika hali yangu ya mwanzo, Amen.
Wana JF nawashukuru sanaaaa kwa maombi yenu ndugu zangu.maombi yenu yameninyanyua kitandani, yamenipa nguvu, yamenipa faraja ndg si mpaka nitoke naye tumbo moja, hapana!ninyi pia ni ndugu zangu.Nawashukuru sana, nilijaribu kuingia JF baada ya kuambiwa kuwa Mondray kanianzishia uzi huu; Get well soon Chakorii:Member mwenzetu wa jf Anaumwa sana..
Nilipitia baadhi ya comments nikajikuta natabasamu ingawa sikuwa vizuri kabisa baada ya hapo nikajikuta nimepata faraja ya ajabu kuona mnaniombea.
Ashukuriwe Mwenyezi Mungu aliyapokea maombi yenu akaniponya.asanteni sana.
Nimeshindwa kumshukuru mtu mmoja mmoja katika huo uzi wa Mondray na ndo maana nikafungua uzi wa shukrani kwa all JF members. Nawashukuru sana jamani. Ninamaanisha kutoka moyoni ninaposema "nawashukuru". Mungu azidi kuwabariki ndugu zangu.NAWAPENDA SANA.
Mondray asante sana mkuu, barikiwa sana mpaka ushangae.hahahahahahahahahaha hongera kwa kupunguza ban maana na wewe baba loh!!!NAKUPENDA SANA best yangu.