Jf Members Arusha na Moshi

Delegate

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
331
201
Tangu nimeijua Jf na kuamua kujiunga nimefaidika na mengi,mojawapo ni kujuwa kwa undani siasa za Tanzania ambazo zamani nilikuwa nazisikia midomoni mwa watu wachache,sasa Jf imeweka kila kitu wazi na kinajadiliwa na wataalam wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja hapa Jf
baada ya kuishi nje ya nchi yangu kwa miaka 17 nimeamua mwaka huu nije nitembee kidogo Tanzania,lakini sipendelei kabisa kwenda Dar bali natamani niende Arusha na Moshi na nitakuwa pale kwa mwezi mmoja
ningependa sana sana kujuana na wana Jf walioko mitaa hiyo,ni vema tukajuana kama dada mmoja aliyeleta shukrani zake hapa jana baada ya kufiwa na mama yake akidai Jf ni zaidi ya family
natanguliza shukrani zangu kwenu Wakuu
 
karibu,ila JF haipo arusha na moshi tu,popote ulipo kuna mwanaJF take that from ME.
 
sweetlady, hebu ukuje kuna mgeni.
Karibu mpendwa, tupo na tutakupokea. Unakuja na $, €, £, ama ¥. Tukutengenezee itinerary ya maana.
 
Last edited by a moderator:
Ni pm kama upo siriazi! Na ujitambulishe mapema kama wewe ni she maana nina mke humu! Lol...
 
Tangu nimeijua Jf na kuamua kujiunga nimefaidika na mengi,mojawapo ni kujuwa kwa undani siasa za Tanzania ambazo zamani nilikuwa nazisikia midomoni mwa watu wachache,sasa Jf imeweka kila kitu wazi na kinajadiliwa na wataalam wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja hapa Jf
baada ya kuishi nje ya nchi yangu kwa miaka 17 nimeamua mwaka huu nije nitembee kidogo Tanzania,lakini sipendelei kabisa kwenda Dar bali natamani niende Arusha na Moshi na nitakuwa pale kwa mwezi mmoja
ningependa sana sana kujuana na wana Jf walioko mitaa hiyo,ni vema tukajuana kama dada mmoja aliyeleta shukrani zake hapa jana baada ya kufiwa na mama yake akidai Jf ni zaidi ya family
natanguliza shukrani zangu kwenu Wakuu

Mimi nipo Arusha...karibu sana pande hizi.
 
Back
Top Bottom