Delegate
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 331
- 201
Tangu nimeijua Jf na kuamua kujiunga nimefaidika na mengi,mojawapo ni kujuwa kwa undani siasa za Tanzania ambazo zamani nilikuwa nazisikia midomoni mwa watu wachache,sasa Jf imeweka kila kitu wazi na kinajadiliwa na wataalam wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja hapa Jf
baada ya kuishi nje ya nchi yangu kwa miaka 17 nimeamua mwaka huu nije nitembee kidogo Tanzania,lakini sipendelei kabisa kwenda Dar bali natamani niende Arusha na Moshi na nitakuwa pale kwa mwezi mmoja
ningependa sana sana kujuana na wana Jf walioko mitaa hiyo,ni vema tukajuana kama dada mmoja aliyeleta shukrani zake hapa jana baada ya kufiwa na mama yake akidai Jf ni zaidi ya family
natanguliza shukrani zangu kwenu Wakuu