JF member of 2012!

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,991
2,108
Wapendwa,asifiwe kristu!asalym aleukumu!..protokal zote zimezingatiwa
Basi pasipo kupoteza muda,nimepewa jukumu na invisible la kufanya zoezi tajwa hapo juu ili ikifika tarehe 31 tupate mdau mkali na aliyefanya vizuuuri zaidi (based on his/her posts) kwa mwaka huu unaoishia!kazi kwenu,kupendekeza mdau huyo kuanzia sasa. Asanteni,zawadi nono zitatolewa kwa wadau ishirini wakali.
 
unaongelea post au thread?
na tutaamini vipi umetumwa na Invisible, ikiwa kumention jina lake umeshindwa!!

halafu huyo mwana JF wa mwaka iweje aje kutafutwa huku MMU....???
 
Last edited by a moderator:

Thanks a lot for the comfidence!!!!!!! Ila lara 1 ni mrengo wa kushoto plus ana damu ya kunguni, akishinda hapa kutaibuka WORLD WAR 3!!!!!!!! Only few people share my vision n point of view when looking things!

The True NEO MARXIST!!!!!!!!! (Guys you should study philosophy, economic or atleast history in your spare time, wont hurt!)
 
Back
Top Bottom