JF Kuwa Chama Tishio Cha Siasa?

Jamiiforums Kugeuzwa Chama?

  • Yawezekana

    Votes: 44 71.0%
  • Haiwezekani

    Votes: 19 30.6%

  • Total voters
    62
  • Poll closed .

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,221
1,225
Allien

Hoja unayo na umeijenga ipasavyo big up sana, sigeuzi kichwa mara mbili kuchukua kadi ya Chama twaomba jina litoke mapema kabla ya December 25th 2009,

FL1: kweli kwenye Umafia na FBI, CSI me nta kuwa mstali wa mbele Mzalendo 100%

UVCCM ndio watakuwa wakwanza kuja huku iyo nawapeni full story lazima kwani hao ndio hawana hata direction tutawakaribisha pia.

Ilani ya uchaguzi jamani na wasi wasi na wanafki na mafisadi kutuibia wallahi toba, vipengere vyetu vingi vitaibwa usipaime kwani nawajua wale ni copy paste.

Please Twasubilia jina la Chama, je mapendekezo ya jina kwa ajili ya JF part yako wapi si wazalendo wa kweli waanze kutaja au ku suggest party name
 

Samwel

JF-Expert Member
Mar 25, 2007
224
0
Tumesikitishwa Sana . . . .
Tumenyanyaswa Sana . . .
Tumeonewa Sana . . . .

Hakuna wa kututetea kikamilifu ndani ya Chama Tawala . . . .
Upinzani nao bado unasua sua na hauna mwelekeo wa kushika hatamu . . . .

Sasa kwa hiari yetu tumeamua kuanzisha Chama Cha Kisiasa, kitakachoshika Madaraka ya Kuongoza Serikali Mwaka 2015 . . .

Rev. Kishoka . . . . tunaomba uanze kuandika rasimu ya katiba kisha tuletee hapa jamvini tuipitie . . . .

Mwanakijiji . . . . anza kutayarisha rasimu ya Ilani ya Uchaguzi

Kuhani . . . . Anza kuchambua chambua weaknesses za vyama vyote vya Kisiasa . . . .

Wana JF Wooote . . . . Tuanze kujiandaa kufanya kweli . . . . .

Tunahitaji mchango wa kila mwana JF ni nini hasa tufanye ili tufanikiwe kuunda Serikali Mwaka 2015 . . . . .
.

Halafu tukifanikiwa kushika madaraka na kuunda baraza la mawaziri.
1.Mh Masanio-Waziri wa vinywaji na vichekesho na naibu wake atakuwa Mh mwaafrika.
 

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,628
2,000
any way....kwa kuwa mmeweka option ya ''inawezekana,haiwezekani ''hapo mmenishinda vinginevyo kungekuwa na nafasi nyingine ningesema hilo swali halina msingi wowote...................swali linaulizwa SIJUI LINA LENGO GANI KWANI HATA NDIYO ZIKIWA 99% bado hamuwezi kuanzisha chama
 

Tumain

JF-Expert Member
Jun 28, 2009
3,157
0
Si tayari chama chenu ni CCJ mnataka chama kingine...maana JF bila mwanakijiji hakuna kitu, mwanakijiji bila askofu pengo hakuna kitu ..the list goes on...

Kwa level ya unafiki nayo ona hapa hamfiki popote poleni.
 

AmaniGK

JF-Expert Member
Jan 10, 2008
1,110
1,500
Si tayari chama chenu ni CCJ mnataka chama kingine...maana JF bila mwanakijiji hakuna kitu, mwanakijiji bila askofu pengo hakuna kitu ..the list goes on...

Kwa level ya unafiki nayo ona hapa hamfiki popote poleni.

Mkuu ulipotea... karibu tena
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom