Jf kimeo?

nikiingia kwenye pc inagoma kabisa mpaka nitumie simu afu ndo vile mara ikubal mara ikatae
 
Maintainance waliyotuambia ni ya siku kama 5 imezua matatizo ya wiki sasa angalia mambo yenu yasije yakawa kama ya ccm!
 
I think maintanance ilikuwa kweli ifanyike kwa siku 5 isipokuwa ndani ya kufanya maintenance kuna vitu vikakorofishwa na ndio wanavyovitafuta ni vipi. being offline frequently inashusha interest ya users.
 
Walisema wanataka kuboresha, mie naona ongezeko la matangazo ya biashara lakini mambo mengine yamekuwa ovyo kuliko. Hebu tuelezeni mmeboresha nini ili tuelewe na kutoa maoni yetu. Kwa mfano mie nashindwa kabisa ku reply with Quote -inanigomea yaani haikonekti.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom