Jf kikaangoni

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,670
Uuh ni Uzi maalumu wa kikaango humu Jf kila siku itawekwa update ya mtu wa kukaangwa humu,

Leo tunaanza na MSHANA JR

mwenye swali lolote kumuhusu Mshana Jr na kama unaitaji kujua chochote kutoka kwa Mshana Jr ni luksa kuuliza hapa atakujibu .


...!
 
mshana jr unaweza kutumia nguvu zako kuniambia matokeo ya mechi hata tano tu za kesho ili niamke na pesa sawa na makontena kumi ya makinikia?
 
Wewe kweli zero IQ, unaleta mambo ya viwhatsapp huku? Usikute hata unayemuweka kikaango hajui, hana bando au yupo na mishe zake nyingine tu maana weekend hii.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom