Jf ipo juu kuliko maelezo, wamiliki mpaka wanachama mwastahili sifa!. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jf ipo juu kuliko maelezo, wamiliki mpaka wanachama mwastahili sifa!.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by binti ashura, Jun 5, 2011.

 1. b

  binti ashura Senior Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu wana jf mpo juu, nashindwa kuwapa sifa ile itakayo watosha kwa kazi nzuri mnayoifanya. najuwa tumekuwa tukiandika lisala kuwa ndugu mgeni lasmi popote penye mafanikio hapakosi kuwa na matatizo, hivyo hata Jf haiwezi kosa matatizo kama vile watu kuleta habari za Udaku kwenye siasa au habari hii katika sehemu isiyohusika, pamoja na yote hayo watu wamekuwa wakielimishwa siku hadi siku. jambo lililonisukuma mie kuwamwagia sifa ni kwamba mie nilikuwa kijijini sana ambako magazeti na taarifa mbalimbali huwa zinachelewa sana lakini nimekuwa nikizipata kwa JF!. Jamani, wahenga wanasema mnyonge, mnyongeni lakini haki yake mpeni!. nawamwagia sifa JF!
   
Loading...