JF Investigates: Zakaria ni nani huyu Tarime?

Na ile BP iliyo kuwa ya Marehemu Magubo naona kama ni ya Zakaria kwasasa au?
 
Most of Police officer's are in payroll of these racketer uneducated tycoon around Lake Zone one of them are P Zacharia
 
Haiwezekani mtu kama huyo akakumbatiwa na chama tawala, nadhani mnamsingizia na kumuonea wivu. Vinginevyo mtakifanya CCM kionekane kama Chama cha Majambazi hivi...
.....MKJJ pengine huna uzaoefu na matajiri wa Musoma na Mwanza, list ya watu aina ya Peter zakaria ni ndefu......wengi wametajirika sana na biashara ya magendo mpakani,kuanzia enzi za magendo ya bia(kuvusha bia ziwani kwa mitumbwi kutokea kisumu,petroli nk).

Suala la vitendo vya kibabe na ukatili imekuwa ni tabia ya wafanyabiashara hawa,mwenzetu mmoja amemtaja CHACHA GITANO (jina lake ni CHACHA KITANA), huyu ni mmiliki wa meli ya MUNANKA ni kati ya maharamia wanaoongoza ziwani na anamiliki 'eneo lake la uvuvi ziwani' a no go area kwa wavuvi wengine, huyu kama utakumbuka aliwahi kulalamikiwa kwa mauaji ya mtu mmoja na mjane wa marehemu alizungumza mbele ya FT sumaye kwenye mkutano wa hadhara pale mwanza, agizo likatolewa RC afuatilie na taarifa zipelekwe kwa FT, lakini wapi!

Huyu anamiliki baa pale mwaloni FAIR VIEW,yupo lameck AIRO,smart guy,with good IPR anahusishwa kuwa confidant wa Sarungi,anamiliki hoteli LAKAIRO (kifupi cha majina yake LamecK AIRO) ana shares za kiwanda kimoja cha betri Kenya, Started from Scratches, alitajirika na biashara ya magendo, sasa ni diwani wa CCM huko Tarime, anaishi Mwanza. Sifahamu kama anarekodi ya ukatili, marafiki zake ni CMG, OBETO (Diwani Tarime, anaishi Musoma), OCHERE anaishi Musoma. Hiki ni kkikundi kipya cha wafadhali wa CCM wilaya ya tarime, miongoni mwao wanajiandaa kumrithi sarungi.

VEDASTUS M. MATHAYO,mfanyabiashara ya magendo ya mafuta musoma, aliwahi kuua mtu kinyama,ugomvi wa mwanamke, aliwekwa ndani kwa muda akatoka na kugombea ubunge, picha za aliyeuwawa akiwa na majeraha ya kutisha zilisambaa Musoma mjini, kiasi zilitumika against him kwenye uchaguzi,....the list is looooong.
 
Haiwezekani mtu kama huyo akakumbatiwa na chama tawala, nadhani mnamsingizia na kumuonea wivu. Vinginevyo mtakifanya CCM kionekane kama Chama cha Majambazi hivi...

Are you being sarcastic?

Acha huyu Zakaria kuna mwingine anaitwa Mabina, mbunge wa Kisesa, yeye alikuwa jambazi kabisa wa kuingilia watu na mtutu na kuteka malori ya bia yaliyokuwa yanatoka Kenya.

CCM inakumbatia kuanzia majambazi mpaka mahaini na mahujumu uchumi, just be sure usiwe kidokozi, maana utafungwa.
 
Mabina Current is CCM Mwanza Regional Chairman

Habari ndio hiyo
 
Peter Zacharia hana shule yoyote, ila ni 'Field Marshal', jambazi hatari, hiyo BP ya marehemu Magubo ilikuwa ya Peter tangia zamani. Ilitokea kero fulani hivi Magubo akapewa kuimiliki kwa muda. Magubo alikuwa mtu safi, ila tu sababu ni mdogo wa mmiliki wa CMG, na Mwanza Hotel, ambaye ndo m-NEC wetu Gachuma, alionekana fisadi kiasi fulani, ila Magubo hakuwa jambazi, alikuwa mtu poa, alikufa kwa ajali tena kwa ulevi tu, yeye ubaya wake ilikuwa kutuchukulia wadada poa wetu wa mitaani.

Vedastus Mathayo sio jambazi, ila ni mufanya magendo mzuri sana asiyelipa kodi, ni mafia katika kupanga namna ya kukwepa kodi hasa anapoingiza meli za mafuta. Yeye ni master planner na mbunifu namna ya kukwepa kulipa kodi, mara nyingi na yeye hutumia meli za Mv.Munanka kufanikisha zoezi lake kwenye wizi wa mafuta, watu wa TRA wote wanajua Kanda ya Ziwa, ila ni "untouchable" sababu Veda ni mbunge wa Musoma mjini na walinzi wote wa usalama wako kwenye pay roll yake!

Vedastus Mathayo hakuuwa, aliyeua ni mtoto wa kaka yake, anaitwa Marwa William, ambaye ni mwenyekiti wa CCM vijana, mkoa wa Mara, wote wanafanya biashara moja ya magendo ya mafuta na wafadhili wakubwa wa CCM. Marwa alimuua mhasibu wa kampuni yao ya EAFCO, (East Africa Fuel Company) ambayo depot yao ipo Musoma, huyo jamaa alieuwawa aliitwa Peter, Marwa alidai Peter alikuwa anamnanii mke wake wa ndoa.

Pia kuna mdogo wake Vedastus maarufu kwa jina la 'Rambo', anamiliki beach kubwa huko Mugango kijijini kwa ajili ya kushushia mizigo yao ya magendo, huyu pia aliwahi kuuwa binadamu hapo mgango, na hakuchukuliwa hatua zozote.

Obetto, Ochelle, Lameck hawa ni wajaluo mbumbumbu, hawakusoma hata vidudu ila ni Mafia kwenye anga zao, ukiwaingilia kwenye field yao ya kazi unapotea milele, hawa wana baraka kutoka kwa Prof. Sarungi, na wote ni wafadhili wakubwa wa CCM, na hata hivyo vyeo huwa wanapewa tu ili waonekane active members, ndo kuwa udiwani, mara kamanda wa vijana wilaya nk. ila wote ni wezi na majambazi sugu, captain wao ni Obetto. Bahati mbaya wote shule hawakujua ziko wapi kuanzia Mbunge wa Msoma mjini, Vedastus Mathayo hadi Gitano, hajui hata kuandika jina lake, ni mtu pekee ambaye huwa anapata zawadi toka CRDB sababu tangia aanze kuweka pesa bank hajawahi kuchukua tena, ila inasemekana kuwa ni kwa sababu hajui hata kusaini cheque book yake, hivyo yeye ni kuweka tu pesa, na pesa anayo!
 
Are you being sarcastic?

Acha huyu Zakaria kuna mwingine anaitwa Mabina, mbunge wa Kisesa, yeye alikuwa jambazi kabisa wa kuingilia watu na mtutu na kuteka malori ya bia yaliyokuwa yanatoka Kenya.

CCM inakumbatia kuanzia majambazi mpaka mahaini na mahujumu uchumi, just be sure usiwe kidokozi, maana utafungwa.

Hey Tinkerbell, una ushahidi? Ulimwona? Ulishiriki naye? Alikuingilia na mtutu?
 
Uweke basi hapa la sivyo "credibility" ya forum iko matatani....au kama unataka kuwa kama mshikaji wako Mr. Freelance Investigator unaweza ukaubania...

Story ingekuwa credible, tungekuwa na ushahidi wa kuweza kuwekwa hapa.Unfortynately the story is incredible, kwamba a common thief ambao watu wote wa Mwanza wanamjua kaja kuwa mbunge na sasa Mkuu wa CCM wa Mkoa wa Mwanza.

So not all true things are credible, and not all credible things are true.Kama unataka kujua muulize alwatan yeyote wa Mwanza.This is common knowledge.
 
Mhhhmmm...you sound more like your boy, Mr. Investigator....excuses. excuses, and more excuses.....wewe umetoa dai, lithibitishe kwa ushahidi. Usianze kunambia eti nimwulize alwatan yeyote ya Mwanza. Geeez....kunamengi mno yasemwayo na nikianza kuuliza najua nitasikia mengi pasipo na ushahidi wowote. It's all good though...but try to live up to your expectations of others. Peace out.
 
sasa kama jk anafadhiliwa na hawa atawezaje kumkemea wezi wengine wa kalamu kama akina rostam
 
Mhhhmmm...you sound more like your boy, Mr. Investigator....excuses. excuses, and more excuses.....wewe umetoa dai, lithibitishe kwa ushahidi. Usianze kunambia eti nimwulize alwatan yeyote ya Mwanza. Geeez....kunamengi mno yasemwayo na nikianza kuuliza najua nitasikia mengi pasipo na ushahidi wowote. It's all good though...but try to live up to your expectations of others. Peace out.

Ebu tupe nyeti. Huu utetezi huenda si bure lol. Circumstantial evidence is so overwhelming and common knowledge that requires very little corroboration. Peace out.
 
Common sense does not need evidence nor investigation, mkuu vipi unashirikiana na Zacharia?
 
Ebu tupe nyeti. Huu utetezi huenda si bure lol. Circumstantial evidence is so overwhelming and common knowledge that requires very little corroboration. Peace out.

Circumstantial evidence? Mwenzako kasema jamaa anaingilia watu na mtutu which means kuna victims, sio? Mwenzako kasema jamaa alikuwa anateka nyara malori ya bia, which means kuna walitekwa nyara na walimwona mtekaji nyara, sio? Sasa circumstantial evidence inakujaje hapa? Unless uniambie hearsay evidence lakini circumstantial....dunno bout that....

Haya ni madai makubwa na mazito yahitajiyo ushahidi usiopingika na si wa kimazingira. Peace out
 
Originally Posted by Mzee Mwanakijiji said:
Haiwezekani mtu kama huyo akakumbatiwa na chama tawala, nadhani mnamsingizia na kumuonea wivu. Vinginevyo mtakifanya CCM kionekane kama Chama cha Majambazi hivi...

Kina Barack Obama wanajaribu kupambana na claim za "guilty by association" za kina Rev. Wright, Ayers etc, Africa ukitaka uwe na nguvu kisiasa inabidi ulete watu wote wachafu upande wako. Safari bado ndefu.....hii inanikumbusha ile issue ya Kishimba wa Imalaseko, ambaye meli yake ilisababisha ajali ziwa Victoria ingawa ilikuwa imesimamishwa kutoa huduma, watu wakafa lakini mpaka leo sidhani kama kuna jambo linaendelea just because jamaa ni mfadhili wa CCM
 
Sio alishawahi kuwa jambazi, bado ni jambazi hadi kesho, ni bingwa wa kuuza mafuta ya magendo toka kenya, ni bingwa wa kuteka magari ya mafuta toka kenya kwenda migodini na huuza hayo mafuta vituoni kwake, pale mpakani sirari ana kituo cha mafuta kwa ajili ya kuuza mafuta ya wizi tu toka Kenya, na hayalipiwi ushuru.

Ni bingwa wa kuteka meli za mafuta toka pipe-line kisumu na na kuyashusha mafuta visiwani huko Mwanza, mara nyingi kwenye wizi huu hutumia meli ya mv. Munanka ambayo ni ya rafiki yake jambazi wa mwingine wa Mwanza, huyu wa Mwanza anaitwa Chacha Gitano.

Hapa Tarime ana jeshi lake binafsi pia ana selo zake, kwa mfano wapiga debe wakipuuza mabasi yake huweza kupelekwa kwenye hayo magereza yake na kupewa adhabu ngumu ya viboko pamoja na kusafisha gereji yake, inasemekana pia kwenye mradi wa mabasi IGP mstaafu , jambazi mahita ana shea kubwa, mabasi mengi ni ya wizi toka Kenya.

Kwa sababu raia wa Tarime wanamuona kama pirate, zamani halmashauri ikiongozwa na ccm walimpa vituo vya mafuta vya halmashauri bure bila malipo hadi leo, kikiwemo cha mugumu wilayani Serengeti.

Aliwahi kumwagia dereva wa basi la Bunda Bus tindikali pia, live stand, na sheria haikumgusa, hadi leo huyo jamaa ni kilema. Mara nyingi amekuwa na tabia ya kuwakoromea madereva wa kampuni nyingine kama Tanganyika Bus kwa kuwatishia bastola, tena mbele ya abiria.

Peter Zacharia ni Mungu mtu hapa Tarime, Gachuma ndo God father wake.

...kangoye ni rafiki yake mkuu ambaye pia humsaidia kukwepa kodi..kwani kangoye ni mwajiriwa wa TRA....
 
Back
Top Bottom