Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Chinekeeeeee...Evelyn amnywea Asprin na kukimbia, chanzo cha mbio hakijafahamika Vumbi la congo latajwa
Chinekeeeeee...Evelyn amnywea Asprin na kukimbia, chanzo cha mbio hakijafahamika Vumbi la congo latajwa
Yaaani weweeee.... nikikukamataaaaa....Evelyn Salt afumaniwa akimnywea babu mstaafu Asprin mafao ya bandari
Ila YouTube ina mambo
View attachment 1774531
8E7057AK3NC Confirmed. Tsh150,000.00 sent to - EVELYN SALT on 7/5/21 at 10:17 AM and charged Tsh1720.00. New M-Pesa balance is Tsh1,5000,000Mkalimani wa taifa kutafsiri sherehe za uhuru 9 December...
Uwiiiiiii Mshana hii msg yako itanifanya nipate orgasm.....8E7057AK3NC Confirmed. Tsh150,000.00 sent to - EVELYN SALT on 7/5/21 at 10:17 AM and charged Tsh1720.00. New M-Pesa balance is Tsh1,5000,000
Utanihifadhia kwenye tAste tubeUwiiiiiii Mshana hii msg yako itanifanya nipate orgasm.....
🤣🤣🤣🤣🤣Imefichuka Wangari Maathai na Espy kumbe ni mtu na mke mwenzie, wakutana uso kwa uso na kutaka kuzichapa laivu bombani.
Uwiiiiiii Mshana hii msg yako itanifanya nipate orgasm.....
Sijambo mke mwenza🤣🤣🤣🤣🤣
Mwenza nakusalimia.
Sijambo mke mwenza
Naona kama tushaachika mwenza....
Iliyobaki ni kujikita zaidi kwenye kutafuta pesa mwaya.
Kwakweli tushaachika mwenza
Dadeq duuuuKikosi cha ELITE POWER kimesema CCM Music ambazo tumebarikiwa kumbe ni jipu hazina maadili kwa Polisi jamii
Evelyn amnywea Asprin na kukimbia, chanzo cha mbio hakijafahamika Vumbi la congo latajwa