cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 85,613
- 137,357
Madame B uso kwa uso na Msukumakizazi akimbia almanusra miguu iguse kisogo
Madame B uso kwa uso na Msukumakizazi akimbia almanusra miguu iguse kisogo
Evelyn Salt afumaniwa akimnywea babu mstaafu Asprin mafao ya bandariMadame B uso kwa uso na Msukumakizazi akimbia almanusra miguu iguse kisogo
Kisanga bablaiiii....Kwamba afariki.
Dah YouTube kisanga
Evelyn amnywea Asprin na kukimbia, chanzo cha mbio hakijafahamika Vumbi la congo latajwaEvelyn Salt afumaniwa akimnywea babu mstaafu Asprin mafao ya bandari
Ila YouTube ina mambo
View attachment 1774531
Madame B uso kwa uso na Msukumakizazi akimbia almanusra miguu iguse kisogo
Ila shoga angu nimekumiss sana ujueEvelyn amnywea Asprin na kukimbia, chanzo cha mbio hakijafahamika Vumbi la congo latajwa
Demi na Khantwe wazichapa msibani wakimgombea Keagan Paul, mtoto wa mkuu wa mkoa mstaafu wa Dar es salaam.
Evelyn Salt afumaniwa akimnywea babu mstaafu Asprin mafao ya bandari
Ila YouTube ina mambo
View attachment 1774531
Evelyn amnywea Asprin na kukimbia, chanzo cha mbio hakijafahamika Vumbi la congo latajwa
Afu cha ajabu sasa, ukifungua hio video...ni tofauti kabisa na kichwa na habari.
Demi na Khantwe wazichapa msibani wakimgombea Keagan Paul, mtoto wa mkuu wa mkoa mstaafu wa Dar es salaam.
Ila yule jamaa kajua kutugandisha, mpaka sasa hv kuna watu kule wanamsubiri.😆😀😀😀 Keagan Paul hafaiiii, katuchomesha mahindi kwenye uzi wake, kasepa
Ipo kwa Fidelin Iranga, tungi la Jana noma sanaSimu ya Bujibuji yahalibika baada ya kuwa Full charge
Katuweza sanaIla yule jamaa kajua kutugandisha, mpaka sasa hv kuna watu kule wanamsubiri.
Chezea binadamu wewe.
Wadhamini tu wanapita wakikisubiri kipindi kirudi.
Hahahhah....
Demi na Khantwe wazichapa msibani wakimgombea Keagan Paul, mtoto wa mkuu wa mkoa mstaafu wa Dar es salaam.
umetisha sana kiongozhguy platnumz asema atamshitaki Diamond Platnumz
Hahahaha,vumbi la Congo.Evelyn amnywea Asprin na kukimbia, chanzo cha mbio hakijafahamika Vumbi la congo latajwa