:( JF inavyo wachanganya watu :(

afrodenzi

Platinum Member
Nov 1, 2010
18,145
9,207


pole wote mlio kuwa addicted na JF
..
 

Attachments

  • duty_calls.png
    duty_calls.png
    8.8 KB · Views: 334
mie kila napokaaaa najisahau najikuta naperuzii humu..........ugonjwa mbaya sana
 
Sayuuuu!!!

Usitoe siri hadharani Maza hajakupatia mpaka sasa??

Nakuona unaandaa Birthday (Ukamsahau Dada yako)

Maza hajasema kitu kabisa yaani
sasa niambie basi kidoncho ilikuwaje..
( chumbani ..:)

Bday party muhimu sana ila karibu ntakimbia nieende kushughulikia mambo..:)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom