JF inatumika kisiasa au baadhi ya MODS ndio wanatumika kisiasa?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF inatumika kisiasa au baadhi ya MODS ndio wanatumika kisiasa??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mohammed Shossi, Jun 22, 2011.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Hii ni mara ya tatu hii thread naiweka kwa kuwa ina ukweli mods wanaifuta pipozzzzzzzzzz

  JF inatumika kisiasa au baadhi ya MODS ndio wanatumika kisiasa??
  Leo nimesikitishwa sana jambo ambalo limetufanya wachangiaji wa thread iliyoletwa na ndugu JoJiPoJi inayopatikana kwenye hii link https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la...ml#post2135838 kuchakachuliwa na mods ili kuficha ukweli na kukidhi haja zao.

  Kuna watu wameonekana wajinga wa mwisho kama Mzee wa Rula kwenye post yake namba tano, Memo post number 10, eliakeem post number 34, Mtanzania1 post number 37, ritz post number 65 alimqoute mleta hoja ila baadae sana akaja Mamndenyi post number 82 na kusema kuwa sisi hatusomi vizuri kwani swali tulilokuwa tunaliuliza mbona lipo kwenye post iliyoianzishia thread kuangalia nikakuta tofauti na ilivyokuwa mwanzo na hapo hapo JoJiPoJi akawaqoute wale wote waliokuwa na kiu ya kulijua swali na kuwaambia

  [​IMG]By JoJiPoJi [​IMG]
  Hapa nimegundua kuwa wengi wetu hatuoni umuhimu wa kusikiliza na kuangalia mambo muhimu yanayoendelea nchini, pia hatupo tayari hata tunapoandikiwa kusoma kwa umakini ili tuelewe nini kimeandikwa
  Nilipoangalia vizuri sikuikuta origila post wala sikuona sehemu iliyosema "last edited" nikashikwa na butwaa lakini ndugu yangu Sikonge akatoa angalizo kuwa mods wamefanya vitu vyao kukidhi haya zao.


  [​IMG]By Sikonge [​IMG]
  Ukiangalia hayo maandishi ya mwanzilishi thread, utaona yana ukubwa tofauti. Nina amini kuwa ni MODS wameongezea mistari ya mwisho yenye FONTS kubwa kuzidi za kwanza. Kama mna macho nategemea mtaona.

  Sasa hebu someni hizo Fonts ndogo bila kusoma zile kubwa na mnieleze ni swali gani Lisu aliuliza.

  Ndiyo maana watu wakawa wanataka kujua ni nini kiliulizwa. Nafikiri kwenye page ya 3 au ya 4 ndiyo kuna member akaja na kuweka hilo swali na Mods wakalichukua na kuweka hapo juu. Hivyo msijione mna akili sana kuzidi hao wote ambao wameuliza. Infact, mlitakiwa kuuliza kwanza nini kilitokea hadi jamaa wakauliza kuliko kuanza kushambulia.

  Nawahurumia watoto na wake zenu/waume zenu kama mna tabia ya kuhukumu bila kujua kwa nini.
  Hapo kwenye red ni kweli na ninaungana na Sikonge na hapo kwenye zambarau hii ni hatari kubwa sana kutumiwa na kudhihirisha unatumiwa.

  Kuna mtu wa karibu sana amenimegea issue anasema mods wanasoma hata PM zetu! hili ninauhakika nao maana unaweza ukawasiliana na mtu ukashangaa mtu anacomment mambo mlioongea sirini ukiconnect dots unajua huyu amechungulia PM si tunawajua mods wetu?   
Loading...