JF inastahili kuchangiwa na wana-JF wote! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF inastahili kuchangiwa na wana-JF wote!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mchekechoni, Jan 9, 2011.

 1. M

  Mchekechoni JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 280
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mimi binafsi kuanzia January 2011, nitachangia JF kiasi cha Tshs.10,000/= kila mwezi na sina haja ya kukumbushwa bali kwa uaminifu na uadilifu mkubwa nitahakikisha mchango wangu unafika kwa mlengwa (JF) kila ifikapo tarehe 28 ya kila mwezi. Mungu ibariki JF, Mungu ibariki Tanzania, uwape wana-JF wote hekima na moyo wa kuipigania nchi yetu, utuepushe na balaa zote, mikosi na nuksi za kila aina, utupe nguvu ya kustahimiliana na kuvumiliana wakati wa kuchangia hoja bila ya kutukanana, na uwajalie wingi wa heri na afya njema wasimamizi na waendeshaji wote wa forum tukufu ya JF bila kuwasahau waanzilishi na wote walioibeba kwa hali na mali. Wenye jicho la husuda dhidi ya JF, ee Mola wetu ukapambane nao ili JF isonge mbele hata kama umeme utakatika siku saba nchi nzima JF ibaki hewani kutujuza yote yanayojiri juu ya mustakabali wa Taifa letu daima, ee Mola utujalie. Wote tuseme Amina!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ni kweli ina stahili ila sio lazima kwahiyo usitegemee wachakachuaji(wapo wengi kweli humu) nao watachangia wakati wanatamani ife!Nwyz hongera kwa kua na moyo wa kujitolea...Kutoa ni moyo!!Pole + shukrani kwa wakuu wanaochoka kila siku katika harakati za kutuendeshea JeiEff!One love!
   
 3. m

  mchukiaufisadi JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 538
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Wengine tumeijua JF kwa sababu ya shida zetu hasa kupambana na ufisadi hatujui utaratibu na pia kwa namna inavyochngia mapinduzi inastahili kuchangiwa. ila nijulishwa na INVISIBLE kupitia e-mail yangu namna ya kuchangia. Nitachangia ila ni kwa siri sana maana ni mtumishi wa serikari ya kifisadi nisiyependa ufisadi.

   
 4. P

  Popompo JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 411
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  plse invisible naomba unijulishe jinsi ya kuchangia jf kupitia email yangu.ahsante
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  naunga mkono hoja ni wazo zuri pls invisible nami naomba unipe maelekezo namna ya kuchangia
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280

  [​IMG]
  Thank you for supporting JF! <---(click to support us)
  Waliochangia 2010: <--- (click to read)
  <A href="https://www.jamiiforums.com/355625-post4.html" rel=nofollow target=_blank>JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read)
  :coffee:
  24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com
  [​IMG]
   
 7. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  ha ha....Hepi Nyu Yia
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hepi nyuu yia, nimenunua suti mpya. watatukoma kijijini.
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  umenunua yako peke yako au na yangu......
   
 11. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  wewe utavaa ya mwaka jana bana! uchumi umetetereka, kale ka duka kangu wajanja wa mjini wamekapora usiku wa mkesha wa mwaka mpya. huu mchango wa JF nitamuomba invizibo anikopeshe 25% tupate kurecover.
   
Loading...