JF imenisaidia sasa nafurahia penzi

Asanteni sana wana JF kwa michango yenu. Nili post thread yangu yapata miezi miwili iliyopita kuhusiana na demu wangu kuwa na uke mkubwa kunifanya nisifurahie wakati wakati wa mapenzi. Kuna member alipost thread moja iliyokuwa inahusu tatizo hilo na akatoa ushauri wa kufanya mazoezi ya kubana mapaja mara kwa mara.

Kweli nilimshauri demu wangu amefanya na sasa naona mambo yana anza kuwa mazuri. Nimemwambia asiache kabisa ili kitu iendelee kuwa mnato.

Thank you very much

Akwaaba!
 
Ndevu mbili mbona huelewi zoezi la kubana mapaja linafanywa wakati akienda kukojoa anakojoa huku ana zuia kwa kubana mkojo usitoke zoezi hilo hufanya misuli ya uke kuwa imara. Tatizo hilo la uchi kuwa mpana huwa linatokea pale wakinamama wanapojifungua. Kwa taarifa zaidi tafuta kitabu cha Tendo la ndoa ili ufaidi zaidi
 
Back
Top Bottom