JITU LA MIRABA MINNE
JF-Expert Member
- Mar 28, 2015
- 726
- 471
Itikadi ya kutembelea marafiki imekwisha jf watu wamekua kama rafiki zangu kwa kweli hata kuongea mambo ya sirini huoni taabu wengine wana mizigo inawasumbua hawana pa kuishusha lakini ikiletwa hapa wajuvi wanashughulikia ingawa comment zingine ni pumba zingine hujenga tunachofanya ni kuchambua iliyo nzuri na pumba tunaipiga buti kulee maisha yanaendelea
Rafiki mtaani ukimwambia jambo la sirini anaweza kukutangaza ama kukusema kwa wengine leo hii watu wanapigwa na wake zao wanasema jf wanajua yataishia hapa jukwaani
Sasa basi hebu tueleze Jamii forum imekuathiri vipi??
Karibu ujimwage uchirizike uwanja wako