JF imenipotezea marafiki mitaani sasa hivi nimebaki na marafiki wa JF. Je, wewe imekuathirije?

JITU LA MIRABA MINNE

JF-Expert Member
Mar 28, 2015
726
471
Itikadi ya kutembelea marafiki imekwisha jf watu wamekua kama rafiki zangu kwa kweli hata kuongea mambo ya sirini huoni taabu wengine wana mizigo inawasumbua hawana pa kuishusha lakini ikiletwa hapa wajuvi wanashughulikia ingawa comment zingine ni pumba zingine hujenga tunachofanya ni kuchambua iliyo nzuri na pumba tunaipiga buti kulee maisha yanaendelea
Rafiki mtaani ukimwambia jambo la sirini anaweza kukutangaza ama kukusema kwa wengine leo hii watu wanapigwa na wake zao wanasema jf wanajua yataishia hapa jukwaani
Sasa basi hebu tueleze Jamii forum imekuathiri vipi??

Karibu ujimwage uchirizike uwanja wako
 
Itikadi ya kutembelea marafiki imekwisha jf watu wamekua kama rafiki zangu kwa kweli hata kuongea mambo ya sirini huoni taabu wengine wana mizigo inawasumbua hawana pa kuishusha lakini ikiletwa hapa wajuvi wanashughulikia ingawa comment zingine ni pumba zingine hujenga tunachofanya ni kuchambua iliyo nzuri na pumba tunaipiga buti kulee maisha yanaendelea
Sasa basi hebu tueleze Jamii forum imekuathiri vipi??

Karibu ujimwage uchirizike uwanja wako
Jamii ya Wajapani ina ugonjwa unaoitwa Hikikomori.

Ni namna ya maisha ambayo watu wanajifungia ndani tu na computers zao na games zao, marafiki wa online tu.

Naona Hikikomori inakunyemelea.

Hikikomori - Wikipedia
 
When your family member dies you will realize importance of your neighbours!
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Kwangu Mimi inanipa sifa kwa wale wanaonizunguka hasa zinapotokea taarifa za kitaifa zenye walakini. Mi kupitia jamii forum ndio nafanya confirmation... Then nawatoa kwenye Giza na kuwapa mwangaza
 
Back
Top Bottom