JF imara zaidi: vurugu Arusha na Malipo DOWANS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF imara zaidi: vurugu Arusha na Malipo DOWANS

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by LAT, Jan 8, 2011.

 1. L

  LAT JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Kwa hakika nimefanya tathmini ndogo ya effects ndani y takriban siku tano ambapo nchi yetu imepitia matukio makubwa mawili..., kwanza ni uamuzi wa ICC na tamko la serikali kuridhia kuilipa kampuni inayodhaniwa ina utata zaidi ya TSH BILLIONI 90 fedha ambazo ni kutoka kwenye mifuko ya watanzania walipa kodi kwa uzembe wa watu wachache wenye maslahi binafsi..... pili tukio la maandamano ya amani ya chama cha chadema huko arusha yaliyopelekea uvunjwaji wa haki za binadamu na kusababisha mauaji ya watu zaidi ya watatu mpaka sasa sita... ikiwa vitendo hivi vikifanywa na viongozi waliopewa dhamana na wanainchi kuwalinda na kuwatumikia....

  kwa kifupi tathmini inaonyesha JF imeimarika zaidi kwa kipindi kifupi kwani idadi ya members imeongezeka kiasi kikubwa sana hii ikidhihirisha wazi kuwa JF inatoa hamasa na kutoa habari na uchambuzi wa kina kuhusu mambo yanayoikabili nchi yetu pendwa ya tanzania iliyo gizani miaka mingi tangu uhuru... takribam miaka 50 sasa

  JF ni mfano wa kuiga na inaweza siku moja ikapata fursa ya kuwa taasisi chunguzi na chambuzi hapa nchini... ahsante.... hongera sana JF
   
 2. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  JF members, if we real want to make changes in our society, we must learn to do things that all great people in the world do...taking actions. We should not end up debating without taking any actions.
   
 3. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Taking action ndio motto wa askari wa miamvuli popote duniani.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu... now you are talking.... kula tano yangu instanlty... its now high time for JF to take a hit in actions not online in a web portal forum .... i believe JF is as strong as American Government... it has competent personalities and hardliner citizens who have guts and can stand to be warriors of our nation ...... lets push hard for real change
   
 5. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Yaani if anything hayo yote uliyosema ni matusi ya mchana kweupe kwetu sisi watanzania wote kutoka kwa serikali ya Mh. Kanali, Dr, Mr President Jakaya Kwikwete. Just as the nation is demanding the need for a new constitution they go and prove to us that we have no democracy nor the right to protest and demand. How disrespectul is this government considering the timing.

  Mkuu wa polisi anatoa ruksa ya askari kurusha risasi za moto kwenye congregation intention ni nini hasa kama sio kuua raia, yaani heshima ya maisha na haki za binadamu kwao si tija kabisa i dont know about you to me hawa viongozi wetu hawapo tena dunia yetu wao wanadhani sasa ni ufalme uongozi wao.

  Na ukitaka kithibitisho cha ya kuwa ni ufalme waziri ambae kokote duniani leo kwa political misjudgement walioifanya wizara ya nishati angekuwa hana kazi na yuko sehemu anaelezea ilikuaje mpaka leo tunalazimishwa kulipa kiasi hichi. Yeye ndio anakuja na kutuambia tulipe as if yeye si chanzo cha yote nashangaa kwa nini tunalaumu tanesco sana hila adui alikuwa huyu bwana Ngedere sijui (Ngeleja) na kwa kweli astahili kazi kabisa huyu ilitakiwa aondelewe.

  Na huyo mkuu wa polisi Arusha kuitwa kutoa maelezo mbele ya mahakama kwanini kulikuwa na umuhimu wa kuuwa watu na ajielezee sababu zake za kuuwa ndio kamwe kwetu ni kitu ambacho akiwezekani. If anything this should remind us we need the constituion change quickly si kwa sababu ya NEC tu uozo ni mwingi sana na mihimili ya dola hapa tulipo leo are not fit for purposes.
   
Loading...