JF Get Together Party sasa kufanyika Jumamosi Tarehe 25 Januari 2014…!!!!!

hapana bana, uza hata ile vitz sio ng'ombe wa mahari. mi staki kuolewa kwa mkopo. lol
hahahaah!! Sawa mpenzi, kumbe nili-overlook,,,,,,,,,,,,hii vitz kumbe ndio ya kuuzwa. Haka kabodaboda katatusaidia bado kwa mizunguko ya mjini.
 
Mhh! mi naona hata party yenyewe ishakwishia humu humu kunako jukwaa make kila mutu na wake asa si tusokuwa na wenza hata ka bluzi si hatutacheza mpaka kungojea za kuruka majoka tu?? Mi naona nighailishe kabisa kukanyaga hapo kunako party ya sherehe hii.

Mmmmh siyo hivyo hapa tuko cool sana tukiwaita hao baba zako patakuwa hapatoshi hapa.
 
samahani kiongozi umejaribu huu ukumbi ambao huko hapa kndoni studio kwenye hotel mpya kabisa ambayo mahadhi yake yamekaa kama kichinachina kama sio kijapani ihii hotel ina rangi ya silver na inamuwako wa ajabu hebu nenda kacheki hapo
KakaKiiza naomba tuwasiliane kuhusu swala la ukumbi maana nataka kuanza kutangaza michango.
Jana nikishirikiana na Jiwe Linaloishi tulipitia kumbi kadhaa lakini gharama zao ni kubwa na wana masharti mengi kiasi kwamba hatuta enjoy, ukumbi pekee ambao unaonekana kuwa nafuu na masharti yasiyokwaza ni ule wa Kebbys Hotel Pekee na nilikuwa natarajia kutangaza leo kuwa party itafanyikia hapo.

Copy to lara 1, Jiwe Linaloishi, Vin Diesel, Kipaji Halisi, Paloma, ladyfurahia, cacico, gfsonwin, Madame B
 
hii naona wa mbagala haituhusu si msogee hata quality centre...........savannah pale kuna private/vip lounge........

hapana mkuu ndio maana unaona tunajaribu kuangalia ukumbi ambao utakuwa msaada kwa wote, ambao utakuwa sehemu ambayo kuna miundo mbinu kirahisi hasa usafiri.

Mkuu Mtambuzi umejaribu brajec(survey)mlimani city?
 
Last edited by a moderator:
Zinduna nashukuru kwa kunialika, tuko pamoja, na nafikiri mimi nitaomba kuwa kwenye kiitikio wakati unatumbuaiza.
 
Mhh! mi naona hata party yenyewe ishakwishia humu humu kunako jukwaa make kila mutu na wake asa si tusokuwa na wenza hata ka bluzi si hatutacheza mpaka kungojea za kuruka majoka tu?? Mi naona nighailishe kabisa kukanyaga hapo kunako party ya sherehe hii.

Usiwe na shaka....tatizo huzungumzi na wenzio
 
Back
Top Bottom