Mnyakatari
JF-Expert Member
- Oct 25, 2010
- 2,027
- 1,791
Objection!
Faizafoxy is not a female!
Faizafoxy is not a female!
Only death will do us apart . . .
With all my heart!
Signed
Mpambano huu hauko fair! huwezi pambanisha known member (Josephine) na anonymous (FaizaFoxy)
Mie huwa simkubali faiza lakini kwa hili anampita josephina kwa mbali kwa michango hapa jf faiza yuko juu.
Wadau!
Tusimlaumu sana Superman wakulaumiwa ni sisi wana Jamvi, kwanini hatukutoa mapendekezo ya jina tunalolitaka?
halafu kitu kingine, mwenyekiti wa JEC, kumekua na mashindano mengi sana katika karibu jukwaa ndio maana hii imewachanganya wanajamvi...
next time inabidi kuwe na mgawanyo mzuri wa majukwaa katika uandaaji wa tuzo..
1. hatuna uhakika kama FF ni dume au jike, huyu angepambanishwa kwenye udini
2. jose atashinda kwa ushabiki na uwingi wa wanacdm jf
Jamii Forums na ndio mzee,what a mess.
Hii ni hoja ya superman,ndo maana anaamini mawazo yake ni super kuliko wengine.
Sidhani kama moderators wana jua anacho kifanya,otherwise asingekuwa peke yake.
Mara MMU yeye ndo anawajua wote,mara Siasa duh
umesomeka mzee hizi Category zilikua nyingi sana naona hata kazi ilishaanza kumshinda na bado hapo kuna JF Female and Male Pornstar of the year etc....
Kinachoangaliwa ni nini uliandika humu JF na siyo nini unakijua lakini unajizuia kukiandika kutokana na "nafasi" yako kwenye Jamii. Kwa vigezo vilivyowekwa huna sifa ya kupigiwa kura!!Salamu kwa wote,
Nawashukuru wote.Mmechangia ukomavu wangu katika jamii.
Ni kweli sistahili,Lakini ,Sioni sistahili eti kwasababu sijakidhi vigezo 3,4,5 kama wengi mnavyolizungumzia.
Hapana;
- Najiamini sana,ninauwezo mkubwa sana wa kujenga hoja na kuileta kwenu wanajamvi na ninajiamini kwa kile nachokisimamia katika jaamii husika.
- Uwezo wa kusimamia hoja ninao.Haijalishi ni hoja ya namna gani.
- Ushawishi katika yale niyafanyayo ninao.
Labda niseme tu kwanini sistahili;
- Kwanza maamuzi ya kuanika jina langu hadharani imekuwa ni sababu namba moja ya kupima kile nachotaka kuandika,kujibu ama kuchangia.Yamkini mngetambua ID tofauti na jina hili mngejua nini mnapinga.kwa hili yapo mengi niliyotamani kuyaweka yasomeke.
- Nafasi ama utambulisho wangu katika jamii umekuwa ni kigezo cha nini au topic gani naweza kupost,kuchangia na kuibishania.Katikati yenu mmekuwa ni watu mnaonishahuri kwa kutumia PM,kushahuri nini nichangie na nini nisichangie,nini kitoke kwangu na nini kisitoke kwangu,kama mwanasiasa tena mwanasiasa wa upinzani na kama haitoshi mwanaharakati imekuwa ni kikwazo kikubwa kwangu kutoa kile ambacho nakiamini na kukisimamia na kujiweka wazi, mimi ni mtu wa namna gani.
- Nafasi nayosimama nayo au kujitambulisha nayo katika jamii inazuia Uhuru wangu wa maoni yanayoweza kuleta ushawishi.Mimi kama mwanamke wakati wote nimesimamia kulinda Heshima ya yule nayejitambulisha nae.ndivyo ninavyoamini na itakuwa hivyo siku zote.
Kwa maana hiyo haimaanishi kwamba nimeshindwa vigezo vilivyotolewa.Bali bado najiamini ni kati ya wanamke shujaa,wavumilivu na mwenye ushawishi.Si hivyo tu Ndoto zangu na maono yangu siku moja yatafika kileleni.
Nipo Jf kwa jina langu kwa heshima zote,nikitaka jamii itambue ni kwa namna gani ninavyojiamini na niko tayari kwa kukemewa,kujifunza na kukosolewa kama ilivyo ada.
hali hii inanitofautisha na wote mnaowataja.
Nawashukuru sana,Nitaendelea kusimamia nafasi yangu,kuiheshimu na kuilinda,kwa maana hiyo bado nitazishikilia hisia zangu na kumuheshimu kila mmoja.
Salamu kwa wote,