JF Expected Downtime: October 23, 2019

Status
Not open for further replies.
Asante kiongozi
Wakuu,

Tunatarajia kati ya saa 7 kamili usiku hadi saa 8 usiku wa leo (1:00am - 2:00am) kwa muda wa Afrika Mashariki kutakuwa na downtime (kutopatikana) kwa Mtandao wa JamiiForums ambayo imepangwa kwa ajili ya kuimarisha zaidi miundombinu yetu na kuboresha mambo kadhaa katika miundombinu.

Mabadiliko hayataonekana kwa macho bali experience ya JF upande wa ufungukaji (kasi) ndo itaongezeka.

Tusingeweza kufanya mabadiliko haya makubwa bila kwenda offline kutokana na sababu zisizoepukika. Mabadiliko mengine ya kimwonekano na upande wa app yatafanyika bila ya kwenda offline kabisa.

Tunawashukuru sana kwa uelewa wenu
 
Almost kila kitu kipo tayari. Kutakuwa na sekunde chache za kuwa offline saa 9:30 usiku kwa mida ya Tanzania. Namaanisha, dakika 12 kuanzia sasa.

Baada ya hapo, kazi imekamilika rasmi. Asanteni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom