JF Exclusive: Wawindaji tuliowauzia wanyama na ardhi yetu tukichekelea!

U know what!the govt is too weak to handle these guys.Bora tuunde vikundi vya wanavjiji ili tuwafanyie ambush na kuwawinda mpaka kuwaua kama wanavyofanya kwa wanyama wetu.​
We mangi,hivi kwa akili yako,kiongozi wa nchi atakuja na kukaa porini bila ulinzi? Nenda tu huko kama warabu hawajakupa dozi. Tena ndio utakua sherehe huko.
 
Kweli kuna hili kundi linaloitwa ccm ni kama wahaini wakubwa duniani. Umefikia hatua kama hii sasa? Hata waarabu na wanapiga picha na magari license plates zipo ila kikwete na serikali wanafanya kama vile hawapo ... wanasubiri mpaka ofisi ya raisi itoe decisions, fool of ....

Mimi nilishaamini tangu zamani kwamba kikwete na hawa wahuni wanajifanya walichaguliwa na hizo pesa za waarabu na wahuni mafisadi wenzano sio watu wa kuwakubali kabisa. Sasa tuseme nini baada ya wizi deals na evidence nyingi zipo open. Tuanzie wapi kuwapiga bakora? Hawa wanaomlinda kilkwete na makundi yao ni watu wa namna gani? Sijui kama kuna evidences zingine mpaka serikali ielezwe lolote ... waondoke serikalini mwetu na kwa kifupi ni hivi hayo maofisi dar na dodoma yamebaki ni majengo matupu hakuna wafanyakazi wowote wale serikali.

Chadema hizi ndizo issues sisi na wananchi tumekuwa tunataka zianikwe mbele ya taifa. Hatuitaji kuomba vibali kwa hawa wahuni kuandamana au kudai hii serikali ijiuzuru na kuondoka kabisa. Tufanyeni mikakati kama tunavyofanya na this time tuhakikishe kuna impact kubwa na mabadiliko ya kweli. Tunaposubiri na kusikiliza kikwete au mawaziri wa utalii au nishati na madini tunafanya hivi kwa idhini ya nani? Hakuna sheria Tanzania na wananchi tunajua wazi hili taifa lina endeshwa kwa utamaduni wa watanzania na huu ndio ume-to cost mpaka leo hii. Hakuna katiba wala justice Tanzania na anaye repudiate this aje kwenye JF na atueleze hili.

serikali ya kikwete ni uhuni na ujambazi

Wanapodai kuna idara za upelelezi, usalama, mahakama au wanasheria Tanzania ni nani hao? Wanapotaja majina ya mawaziri na viongozi wa ccm ni nani hao kama sio wahuni wa mitaani?
 
Mbona hawa jamaa hawajavaa vilemba, leta picha ya hao jamaa wa Dubai wakiangusha tembo au simba. Hilo ndio swali langu

I thought u would do that.... inaitwa kuhamisha magoli... kauli yako ilisema hivi:

Acheni wivu nyie wapuuzi, matusi kibao bila mpango, hao wameingia kihalali na wamewinda kihalali, nyie mnakwenda Dubai kununua vikopo vyenu wao wanakuja TZ kula nyama pori hivyo ndio Dunia inavyokwenda. Sio lazima kila anaekuja TZ awekeze.

Leteni picha ya jamaa ameua Tembo au Twiga ndio tujadili lasivyo hakuna mada hapa. Mimi naona hiyo Lexus ndio imewatoa roho, si unajua tena wabongo tukiona mtu mwenye kizuri lazima tumyee.

sasa utaona kuwa ulichotaka kuonesha ni kuwa wanaokuja kuua na kuchukua wanyama hawagusi simba na tembo na twiga! Lakini nilitarajia ungehamisha goli kwani hata kama tungeweka wengine wenye vilemba ungesema "mbona siyo hao walioko kwenye picha" na hata kama tungeleta hao walioko kwenye picha labda ungekuja na kuuliza "kama wanyama wanawashambulia kwanini wasiwaue".. so kwako wewe hakuna mjadala wa hili utaokubali au hata kukaa kujadili kama ulivyosema bali utajaribu kutafuta maelezo ya kuelezea kwanini tukubali uharamia huu wa wanyama wetu.

So.. hakuna mjadala hapa na wewe.
 
Who verifies the animals killed?, the number and sex?, hapo kwenye bold, hilo ndio la muhimu. huko serengeti ukiua hata mnyama aliekukuta nyumbani kwako ni illegal, iweje hao waarabu? kwa kifupi wananchi hawafaidiki nao so, bora waondoke waache wanyama wale wanyama wenzao

Wewe tatizo lako ni waarabu na si uwindaji inavyoonesha. Kila mnyama anaeuliwa kwenye hunting block anakuwa documented na analipiwa na kuna watu wa malia asili kila hunting block. Hiyo ni hunting block moja tu kati ya nyingi sana zilizopo Tanzania. Wacha ubaguzi, wazungu kinao wana ma hunting block lakini mbona mko kimya nao?

Isitoshe hakuna waliosaidia, kayi ya wenye ma hunting blocks, zaidi ya hao waarabu. Wamejenga klinik, shule, visima vya maji. Nambie ni hunting block ipi ya mzungu iliyofanya hayo?
 
I thought u would do that.... inaitwa kuhamisha magoli... kauli yako ilisema hivi:

sasa utaona kuwa ulichotaka kuonesha ni kuwa wanaokuja kuua na kuchukua wanyama hawagusi simba na tembo na twiga! Lakini nilitarajia ungehamisha goli kwani hata kama tungeweka wengine wenye vilemba ungesema "mbona siyo hao walioko kwenye picha" na hata kama tungeleta hao walioko kwenye picha labda ungekuja na kuuliza "kama wanyama wanawashambulia kwanini wasiwaue".. so kwako wewe hakuna mjadala wa hili utaokubali au hata kukaa kujadili kama ulivyosema bali utajaribu kutafuta maelezo ya kuelezea kwanini tukubali uharamia huu wa wanyama wetu.

So.. hakuna mjadala hapa na wewe.

Wewe tatizo lako ni waarabu na si wote wanao kuja ku hunt Tanzania. Sijui waarabu na Waislaam walikukosa nini? uliishikilia Dowans mpaka dakika ya mwisho, mbona sasa huisemi tena na mitambo ni hiyo hiyo "yamebadilishwa magoli tu"?

Inabidi utueleze una kisa kipi na hawa Waarabu na Waislaam kwa ujumla, maana chuki zako huzionesha dhahiri kwa hawa watu. Wamekuchukulia mpenzi wako? wamekuolea dada yako bila idhini yako? au unawachukia tu kwa dini yao?

Uharamia upi na vibali vinatolewa kihalali? au maharamia ni waarabu tu? juu huko kwenye hii nyuzi zimeoneshwa picha za wazungu wanaowinda simba na tembo. Hao waarabu uliona hapo kuna simba na tembo waliempiga? Kwanzan dini yao inakataza kuuwa mnyama wasiyeweza kumla, hiyo inatosha kuwa fundisho kwako kuwa hao si maharamia kama utakavyo ieleweke. Mimi naona haramia ni wewe unaetazama waarabu na waislaam tu katika kuelekeza chuki zako.
 
Kweli kuna hili kundi linaloitwa ccm ni kama wahaini wakubwa duniani. Umefikia hatua kama hii sasa? Hata waarabu na wanapiga picha na magari license plates zipo ila kikwete na serikali wanafanya kama vile hawapo ... wanasubiri mpaka ofisi ya raisi itoe decisions, fool of ....

Mimi nilishaamini tangu zamani kwamba kikwete na hawa wahuni wanajifanya walichaguliwa na hizo pesa za waarabu na wahuni mafisadi wenzano sio watu wa kuwakubali kabisa. Sasa tuseme nini baada ya wizi deals na evidence nyingi zipo open. Tuanzie wapi kuwapiga bakora? Hawa wanaomlinda kilkwete na makundi yao ni watu wa namna gani? Sijui kama kuna evidences zingine mpaka serikali ielezwe lolote ... waondoke serikalini mwetu na kwa kifupi ni hivi hayo maofisi dar na dodoma yamebaki ni majengo matupu hakuna wafanyakazi wowote wale serikali.

Chadema hizi ndizo issues sisi na wananchi tumekuwa tunataka zianikwe mbele ya taifa. Hatuitaji kuomba vibali kwa hawa wahuni kuandamana au kudai hii serikali ijiuzuru na kuondoka kabisa. Tufanyeni mikakati kama tunavyofanya na this time tuhakikishe kuna impact kubwa na mabadiliko ya kweli. Tunaposubiri na kusikiliza kikwete au mawaziri wa utalii au nishati na madini tunafanya hivi kwa idhini ya nani? Hakuna sheria Tanzania na wananchi tunajua wazi hili taifa lina endeshwa kwa utamaduni wa watanzania na huu ndio ume-to cost mpaka leo hii. Hakuna katiba wala justice Tanzania na anaye repudiate this aje kwenye JF na atueleze hili.

serikali ya kikwete ni uhuni na ujambazi

Wanapodai kuna idara za upelelezi, usalama, mahakama au wanasheria Tanzania ni nani hao? Wanapotaja majina ya mawaziri na viongozi wa ccm ni nani hao kama sio wahuni wa mitaani?

Wewe wacha pumba. Hao waarabu wanaingia kwa vibali vyote na wanafata sheria zote za nchi na hizo sheria hazitungi Kikwete. Zinatungwa bungeni na wabunge waliowachaguwa wananchi.

Hizo plate namba zinakukera nini? kwani na haramu Tanzania kutumia gari zenye plate za zilikotoka? si unazilipia kibali na unafata sheria tu? au usongo wako uko kwa waarabu tu?

Nyie ndio mnaomchukia Kikwete kwa Uislaam wake tu, mkiambiwa tulinganishe aliyoyafanya Kikwete na Rais mwengine yoyote Tanzania, huwa hamna hata moja la kusema/ Mnabaki kulalama kwa mambo ya kijinga tu.
 
Back
Top Bottom