JF Exclusive: Wawindaji tuliowauzia wanyama na ardhi yetu tukichekelea!

Jamaniiiiiiiiiii inauma.....vizazi vyetu vitaona hawa wanyama kwenye luninga tuuuu;;
 
Hii nyuzi yote ukiisoma mwanzo mpaka hapa tulipofika imekaa kibaguzi baguzi, lakini kumbuka, waarabu au wazungu, hawaji hapa kuwinda as "poachers", hapo juu nimekuwekea Hunting Blocks ambazo serikali imezitangaza, kwa anaeweza, anweza kuzilipia hilo na mnyama amuwind humo ndani ya block yake na kila mnyama ana bei yake na idadi yake, huwezi kuuwa kiholela tu. Nilipenda ufahamu ya kuwa kama yule swala na wale ndege ambao wanaweza kuliwa wamekutia huruma, utasea nini kuhusu Chui na Tembo? ambao si wengi wanaoweza kuwala hao. Napenda ufahamu kuwa wale waarabu ni waislaam na ni muongozo wa kiislaam kuwa huruhusiwi kuuwa mnyama kwa kumchezea, unaruhusiwa kumuua (kumuwinda) yule ambae wewe au wengine wanaweza kumla.

Inawezekana ni waislam pori"""""":yell:
 
unasema wafanyiwe kwani wamefanya kosa gani ?usiwe na chuki zako za kibinafsi hao watu wameruhusiwa na viongozi wa nchi na wapo hapo kihalali sasa tatizo liko wapi ?kama ingekuwa mzungu ukesema hayo kama una tatizo lolote nenda mahakamani kama inavyosema serekali .
hakuna cha mzungu wala nani warabu, wazungu wote wanaharamu tu, bila kujari una hisa nao kwa kiwango gani
wote mafirauni tu, sawa sawa na viongozi wako waliowaweka huko kihalali ama siyo kihalali, wote shwaini tu hawahitajiki
watawekea mbegu mbaya
 
Kwani viongozi wa kizazi hiki wana tofauti gani na akina Sultan Mangungo wa Msovero? Hebu nijuzeni wadau.
Tofauti ipo, wale akina mamgungo waliyafanya yoote waiyoyafanya kwa sababu ya ujinga wao.
hawa viongozi wa sasa wanyafanya haya kwasababu ya usaliti wao.
tofauti ni kua hawa wa sasa wanafaham athari za wanachokifanya lakini kwa tamaa na usaliti bado wanafanya.
siwapendi ka nini!!!
yani siwapendi, hata ningekua na uwezo ningewa....... wooote.
 
Watanzania - kiwanda cha maneno matupu ! mojawapo la maana hakuna. Achieni wawekezaji watuokoe au tutakufa njaa na uchumi mmeukalia n ahayo makalio makubwa!
 
bado akilia yangu haijatulia tangu juzi nikifikiria trilioni 3 za shimbo na haya madudu ya picha humu ndo nashikwa na mzuka mbaya.
 
i677_fazza3tanzanya3.jpeg


i678_fazza3tanzanya5.jpeg


i679_fazza3tanzanya6.jpeg


i680_fazza3tanzanya16.jpeg
hawa waarabu wamekwenda Kwa Babu kwa Loliondo? Kutibiwa?
 
Bila watu kama hawa kuja na kutalii hapa nchini tusingeweza kujenga universities , Shule za secondary na za msingi , mabarabara n.k.- Angalia maendeleoya Tanzania ya miaka 20 iliopita kabla hujalaumu. jembe la mkono na azimio la Arusha lingetuacha bado tunapanga foleni kupata kipande cha sabuni na hapo hujapata dawa ukapiga mswaki.

Husuda ni hasara.

Are you real?
 
Watanzania - kiwanda cha maneno matupu ! mojawapo la maana hakuna. Achieni wawekezaji watuokoe au tutakufa njaa na uchumi mmeukalia n ahayo makalio makubwa!

Huna sababu ya kutukana labda kama umetumwa
 
Nimesoma hili:

[h=1]BIG GAME HUNTING IN TANZANIA[/h]
A well established African safari hunting operation and recognized as a top hunting outfitter in Tanzania, with a beautiful camp located in the Kilombero Valley Tanzania. Specializing in most big five safari species, Elephant hunting, African Lion hunting, Leopard hunting, Cape Buffalo trophy hunting, Kudu hunting, Puku hunting and Zebra hunting in addition to other African plains game hunting.

Kutoka Africanhuntingsafaris.com
 
kama kweli tuna serikali, ifanye hivihivi kwenye mafuta yao ili bei ishuke!
Ndege ya JWTZ ikafyonze mafuta kiulaini hivi tuone!
 
kama kweli tuna serikali, ifanye hivihivi kwenye mafuta yao ili bei ishuke!
Ndege ya JWTZ ikafyonze mafuta kiulaini hivi tuone!
Hahahaaa....hahaaaaa...you've just made my day Mkuu. ndege yenyewe mbovu iende kunyonya mafuta..lol...
 
Tofauti ipo, wale akina mamgungo waliyafanya yoote waiyoyafanya kwa sababu ya ujinga wao.
hawa viongozi wa sasa wanyafanya haya kwasababu ya usaliti wao.
tofauti ni kua hawa wa sasa wanafaham athari za wanachokifanya lakini kwa tamaa na usaliti bado wanafanya.
siwapendi ka nini!!!
yani siwapendi, hata ningekua na uwezo ningewa....... wooote.

Na sio tamaa na usaliti tu na ubinafsi uliokithiri uliopita ubinafsi wote mtu anakula mpaka anatapika kisha anakula alichokitapika ilimradi tu yeye ni yeye.
 
Natamani nimuonje swala hata sijui ananoga vipi zaidi ya kumshangaa na ngozi yake laini,leo hii nikikaribia kuihama hii dunia waarabu wa Qatar,maguo guo wa juzi tuu wana set terms na wale tuliowapa dhamana bila aibu wanabariki vitendo vya kudhalilisha nchi ,nasema mifupa yao itakuja kutandikwa viboko,woroho wakubwa
 
kama kweli tuna serikali, ifanye hivihivi kwenye mafuta yao ili bei ishuke! <br />
Ndege ya JWTZ ikafyonze mafuta kiulaini hivi tuone!
<br />
<br />
Ndege ya JWTZ iko busy kubeba watu kama Freeman Aikaeli Mbowe kwenda Arusha mahakamani, iko busy sana.
 
Kuna haja ya kuona hata serikali yenyewe imeshiriki katika kuvunja katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania kwa kuuza rasilimali za Nchi tena Wizara so kuna ulazima wa Waziri kujiuzuru na kuona kuwa Taifa wanyama wote wanarudi na pengine rais atuwambie wanyama wetu wapo wapi kwa sasa tunataka warudi katika tifa letu Tanzania!! =
 
Back
Top Bottom