Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,200
- 820
Viongozi wetu hawana tofauti na mangungo kwa tabia ya kupenda na kuthamini vitu wanavyo hongwa na wageni, tofauti mangungo hakujua kusoma hivyo alitia saini hati ya kuuza ardhi bila kujua, hawa wa leo wamesoma na ma-doctorate lakini atakacho ambiwa na mzungu au mwarabu, anakubali bila fasta bila kujali ndugu zake bora yeye karushiwa vijisenti!