Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
- Thread starter
- #181
Dube ni nani? Kuna wanaosema kifo chake kilipangwa
Ukikaa kwenye vijiwe vya wabongo kuna soga nyingi sana; soga nyingine zinanoga utadhani ni kweli.
Dube ni nani? Kuna wanaosema kifo chake kilipangwa
Dube ni nani? Kuna wanaosema kifo chake kilipangwa
Jibu rahisi ni "mabeberu wasioitakia mema nchi!!!"Hivi nini hasa chanzo cha kifo cha Sokoine?
Hivi nini hasa chanzo cha kifo cha Sokoine?
Membe anajuaHivi nini hasa chanzo cha kifo cha Sokoine?
Ni kweli.Fikra za wajamaa zinapokwama kuwaletea maisha bora wananchi ndipo uonevu unaopewa jina la " vita ya kiuchumi" huibuka ujambazi wa kidola huhalalishwa rasmi dhidi ya wananchi waliopata Mali kihalali.
Hiyo vita ya Sokoine ya uhujumu uchumi ndiyo ililenga kujenga mfumo primitive ya kijamaa na siyo kupambana na uhujumu uchumi.
Ukitaka kujua na kuondokewa na huko "kutatizwa" kwako kwa nini "Mambo yalikwenda harijojo," kama usemavyo; na bado Sokoine aliendelea/anaendelea "kupewa sifa sana yeye," ni lazima ujue sababu za hayo mambo kwenda harijojo, na juhudi zilizokuwa zinafanyika kurekebisha.Mimi natatizika mpaka Kichwa kinaniuma Kwa nini Sokoine apewe sifa Sana wakati wake mambo yalienda harijojo??
Who said anything about instant glory?So hard to resist the temptation to respond to all this.
Who said 'Ujamaa' was meant to bring about instant glory? Have never even seen an instantaneous development unleashed by capitalism anywhere!
It has taken the Chines decades, why was it expected to be different here?
Mimi natatizika mpaka Kichwa kinaniuma Kwa nini Sokoine apewe sifa Sana wakati wake mambo yalienda harijojo??
Who said anything about instant glory?
And who said Tanzanians did not have glory in the midst of their abject poverty?
Indeed. What is glory?
Well, I have no idea about all of the above! I guess we need to consult a dictionary, and may be we can find out about "having glory in the midst of abject poverty."Who said anything about instant glory?
And who said Tanzanians did not have glory in the midst of their abject poverty?
Indeed. What is glory?
Nimeona ameshuka kutoka kwenye Mercedes Benz made in Germany baba wa Capitalism.
Usiamini communist hata siku moja, Stalin na Mao waliuwa watu zaidi milioni 100 kueneza communism, Mwalimu Nyerere alikuwa anatibiwa London na siyo Soviet Union au China!
Hahaa. Sikumbuki vizuri mazee. Inawezekana Sokoine...hivi ni nani aliweka marufuku ya magari madogo kutembea jumapili baada ya saa 8 mchana?
And therein lies the problem.Well, I have no idea about all of the above! I guess we need to consult a dictionary, and may be we can find out about "having glory in the midst of abject poverty."