JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

unapopewa kazi ni lazima uikamilishe la si hivyo unakuwa umeenda kinyume na amri,adhabu inayofuata ni.......
Naamini wote waliohusika kumteka,kumtesa na kushindwa ku-terminate maisha ya ulimboka watapotezwa for the sake of national security.
Sasa huyu Mapunda akifia mikononi mwa madaktari si itakuwa balaa- (propaganda nyingine itazinduliwa). Ee Mungu uepushe hii balaa.
 
Si kuna dawa ya kumfanya mtu aongee ukweli (l know from movies msinishambulie); l wish madaktari wangetumia hii kitu!
kwenye movie watu wanapaa kama ndege pia au hujaiona superman wewe, hebu panda gorofani uruke kama na wewe utapaa.
 
Kuna hoja ya kujadiliwa hapa je ni ajali ya kawaida?
Je ni watu/madaktari walioshikwa na uchungu wa mateso ya Dr Ulimboka?
Je ni waliohusika na mateso ya Dr Ulimboka walikuwa wanajaribu kum eliminate?

Wanaweza kuwa ni wabaya wake wengine pia e.g. yeye anasifika kuwa ni mmoja wa vinara wakupokea rushwa. Je ni kati ya watu waliompa rushwa wamerudi kumuadhibu kwakutokuelewana mambo fulani, au ni watu aliowadhulumu, au amegongwa na dereva mwanafunzi, mlevi etc... and the list goes on.
 
''mm sijahusika kabisa na kutekwa kwa Ulimboka. Jamani msinidhuru. Tena cku hyo mm ckuwepo'.. David Mapunda
.

Hapo kwenye red: Kwa nini hakuwepo siku hiyo? Ilikuwa bahati mbaya, au imepangwa, au kwa kawaida ni siku yake ya mapumziko? kwanini hakuwepo?

Ugua pole afande!
 
Hivi angekuwa ni kamanda Msangi je?
Mmh! Huyo ata mimi sidhani kama ningeweza kumtibu. Ningeondoka niachie wengine wafanye hiyo kazi, lasivyo ningeharibu tu. Kila nikiona ile sura kwakweli napata asira ya ajabu sana. Aaah mtihani mgumu sana huo.
 
ajali haina kinga hutokea sehemu yoyote kwa mtu yoyote, na wala isihusishwe na mambo ya ulimboka. Get well soon kamanda

manina zenu mmelaaniwa na mtakuja tu. Hospitali ni mtakuja. Huyo naye ameenda india? Lazima atembelee kile kiti kama atapona na ndo mwisho wa kumfaidi mkewe na upelelezi! Laana iko juu yenu,watu wa Mungu walifunga na kuomba.
 
Kama alishiriki kweli kumtesa Uli ujue nayeye ilikua ni siku yake,kosa lake ni kushindwa kazi waliotumwa(kummaliza Uli) hivyo lazima wao ndiyo wamalizwe! huo ni mfumo wa majasusi Duniani kote,ukishindwa kazi ndiyo mwisho wa maisha yako. Ombi langu kwa Madaktari wasimdhuru kwani wakifanya hivyo watakua wamewasaidia hao wauwaji.Tusubiri tutasikia na wengine pia,wote walioshindwa kwa ulimboka yatawakuta mabaya mmoja mmoja.
 
hakuna haki ya polisi kutesa au kupiga raia sembuse kuuwa. kwa jaribio la kumwua ulimboka na maisha yaliopotea ya wagonjwa kwa mgomo huu halali wa madaktari, mapunda atiwe akili.....! Nafikuri wan JF tuweke majina ya watu wanao stahili kutiwa adabu wao na famila zao katika hili....! Naanza na Hemedi, Mapunda, Kibonde.....
 
Aliyemgonga keshapelekwa mahakamani Tuache Kujadili hili sisi wamilikiwa tusiingilie mihimili ya nchi...

Dr. Kingwalagwala alisema kuwa atawasomea kisomo wote walioshiriki kumtesa na kutaka kumuua Dr. Ulimboka na kama vile ndio matokeo yameanza Picha Inaendelea.... Albadili ya Kingwalangwala ni kama ile ya kuchukuliwa Mke au Mume haimkosi Mtu...
 
on saturday i admitted david mapunda, 3.... Year of age from kawe after sustaining a motor trafic crush outside his car and sustained injury to his waist. There no hx of loc, hx of bleeding from injury site and unable to use his lower limbs. O/e wound on buttocks 10x10Cm,visible bone parts,bleeding profusely with mixture of faeces,tenderness around, vertical and horizontally unstable waist, bilaterally extanal rotated limbs,free movement on midshaft of right femur,swolen,tender. Bp 90/60 mmHg, pr 120, rr 30. Fshx police ofcer at kawe, pmhx unevenful. Pdx open pelvic fracture grade c and closd fracte of M/3 of shaft of r femur. PLAN: X ray not working, ct not working, no external fixetor, have to go and do ix outside and buy meloxicam outside. For conservative management in sewahaji. Hohoooo.... Nilikuwa naandaa presentation yangu ya j3 asubuhi moi. Medicine tamu. Unakutana na maadui zako wakiwa kwenye kona wamejichomeka wenyewe. Ni wewe tu kuwaacha, kuwasaidia au tecnically kuwamalizia. Mungu atupe nguvu tu, mtakuja wenye. In any emergency no referal til u ar stable!! Ndo maana na magufuli MI ilitaka kummalizia dom, bahati yake watu walikuwa bado wana imani na majibu yatakayoletwa na kamati iliyokuwa kwenye mazungumzo.
 
Jamaa hakuwa kazini, Apelekwe India/SA Kwa pesa ya nani?.
Hata mi nashangaa! Ye nani hata TAIFA limpeleke India kwa natibabu? Kama ni suala la usalama ile hosipitali ya manjagu si ilitangazwa kuwa ni HSPL YA RUFAA? HSPTL ya Rufaa itashindwaje kesi ndogo kM hii
 
Hakuna sababu ya kumhurumia.Ningekuwa mimi dr na namna nilivyo na kinyongo ningemmalizia mbali.
 
kuna nyimbo aliimba fresh jumbe na msondo

usiuee, usiibe, usinyang'anye mali za watu
ni hatari kwa maishaaa

mimi sina remose na yoyote hata kama hakuhusika directly but anajua mateso ya watu wa haki

NA ATESEKE ZAIDI NA ZAIDI, NA AMINI NAWAAMBIENI, HATA WAMPELEKE INDIA, HUYO JAMAA TAYARI NI VEGETABLE, ATAPUMUA TU BUT NOT MORE THAN THAT

ANGETUBU KABLA YA AJALI

KIMEUMANA NDANINI
 
Nothing personal against David however may this serve as tmely remainder to misbehaving,brutal,corrupt police force that whatever goes round comes around. Remember whatever bad or good you will come back,therefore strive to do good.
 
on saturday i admitted david mapunda, 3.... Year of age from kawe after sustaining a motor trafic crush outside his car and sustained injury to his waist. There no hx of loc, hx of bleeding from injury site and unable to use his lower limbs. O/e wound on buttocks 10x10Cm,visible bone parts,bleeding profusely with mixture of faeces,tenderness around, vertical and horizontally unstable waist, bilaterally extanal rotated limbs,free movement on midshaft of right femur,swolen,tender. Bp 90/60 mmHg, pr 120, rr 30. Fshx police ofcer at kawe, pmhx unevenful. Pdx open pelvic fracture grade c and closd fracte of M/3 of shaft of r femur. PLAN: X ray not working, ct not working, no external fixetor, have to go and do ix outside and buy meloxicam outside. For conservative management in sewahaji. Hohoooo.... Nilikuwa naandaa presentation yangu ya j3 asubuhi moi. Medicine tamu. Unakutana na maadui zako wakiwa kwenye kona wamejichomeka wenyewe. Ni wewe tu kuwaacha, kuwasaidia au tecnically kuwamalizia. Mungu atupe nguvu tu, mtakuja wenye. In any emergency no referal til u ar stable!! Ndo maana na magufuli MI ilitaka kummalizia dom, bahati yake watu walikuwa bado wana imani na majibu yatakayoletwa na kamati iliyokuwa kwenye mazungumzo.

Udaktari unatukataza kulipiza kisasi mkuu, na ukumbuke kua tumeambiwa hata kama tupo vitani inabidi tuwatibu majeruhi wetu na waaduizetu pia...kwakufanya hivi mungu na jamii itatushukuru..
 
on saturday i admitted david mapunda, 3.... Year of age from kawe after sustaining a motor trafic crush outside his car and sustained injury to his waist. There no hx of loc, hx of bleeding from injury site and unable to use his lower limbs. O/e wound on buttocks 10x10Cm,visible bone parts,bleeding profusely with mixture of faeces,tenderness around, vertical and horizontally unstable waist, bilaterally extanal rotated limbs,free movement on midshaft of right femur,swolen,tender. Bp 90/60 mmHg, pr 120, rr 30. Fshx police ofcer at kawe, pmhx unevenful. Pdx open pelvic fracture grade c and closd fracte of M/3 of shaft of r femur. PLAN: X ray not working, ct not working, no external fixetor, have to go and do ix outside and buy meloxicam outside. For conservative management in sewahaji. Hohoooo.... Nilikuwa naandaa presentation yangu ya j3 asubuhi moi. Medicine tamu. Unakutana na maadui zako wakiwa kwenye kona wamejichomeka wenyewe. Ni wewe tu kuwaacha, kuwasaidia au tecnically kuwamalizia. Mungu atupe nguvu tu, mtakuja wenye. In any emergency no referal til u ar stable!! Ndo maana na magufuli MI ilitaka kummalizia dom, bahati yak
e watu walikuwa bado wana imani na majibu yatakayoletwa na kamati iliyokuwa kwenye mazungumzo.

Kwa presentation hiyo hakuna kunyonywa
 
Maadili ya madaktari hawawezi kumtendea chochote kibaya. Ila kwa hali ya hospitali yetu, yakimkuta ya kumtaka apelekwe nje ya nchi kwa matibabu zaidi sijui itakuwaje, maana serikali ya magamba sijui itamkumbuka? Au Manjagu wenzake watamchangia kama madaktari (I doubt!!!!!!). Pona haraka kamanda ukatoe ushahidi ambao hujaulizwa na umeshaanza kuutoa mwenyewe
You are right, "use and dump" is their motto.
 
Back
Top Bottom