JF Exclusive: OC CID Kawe... (inahusiana na Dr. Ulimboka)

Namtakia heri apone haraka, naye ni bindamu tusimhukumu hakuna ushahidi

Ni kumtendea wema tu .Ila kama maumivu yake ni makali na yanampa kilio basi wamdunge sindano ambazo hata jeshini vitani huwa zinatumika kama majeruhi anaonekana kuteseka sana na jeraha.
 
Yet another episode kwenye hii tamthiliya ya kusisimua..........some thought imeisha kumbe bado
Karma is a bitch..................pole kamanda
 
Kwa jinsi mashambulizi yalivyo makali langoni kwa kova naona analalamika kwa refa eti kuna mipira miwili uwanjani na yote inachezwa, Gwajima, mkenya, na sasa oc cid. Goli (ukweli) lazima litinge. Damu ya ulimboka inathamani, naamini kila aliyehusika atapata share yake!!!!!
 
Wakina Kova wapo wapi kumchangia mwenzao ili aweze kupata matibabu huko Apollo India, au ndio ameshatumika hana thamani tena.
 
Huyu David Mapunda ni yule aliemaliza chuo kikuu cha tumaini? Ka ni huyo anapenda sana deal
 
Pasco tunakuomba tafadhali uwahoji ndugu wa oc cid kwa niaba ya jf, wanaiunga mkono serikaaali au madaktari kwenye ule mgomo wa dr.
Hatimaye urushie jawabu humu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa hivi alipo kawa mdogo kama piriton. Kila sindano atakuwa anatetemeka. hahahahaaa...nimekumbuka ule usemi wa "Tenda mema uwende zako".
 
Pasco tunakuomba tafadhali uwahoji ndugu wa oc cid kwa niaba ya jf, wanaiunga mkono serikaaali au madaktari kwenye ule mgomo wa dr.
Hatimaye urushie jawabu humu.
kwa hali ilivyo ni lazima waunge mkono tu!
 
Last edited by a moderator:
Vipi kuhusu mazingira ya ajali yakoje. Isije kuwa alianza kuropoka ndio maana wakapanga kumnyamazisha lkn wameshindwa maana kashaanza kusema asiyoulizwa
 
wangemdunga sindano ya sumu tuu.
hypodermic-syringes-1.jpg
 
ye haendi india???

Eti nn, India? Nyoo! Ni kwa mswahili gani umewahi sikia mbwa koko akapanda mezani akapakua msosi pamoja n bwana wake? He is in for it and serves him right! They deserve an equally painful experience to understand that hao watawala dhalimu wanaowalinda kwa ghrama ya damu ya wananchi kumbe wala siyo wajomba zao! Sasa anaweweseka nn, wao si hawana shida?

As far as am concerned whether he dies or becomes crippled forever mtters lass!
 
''mm sijahusika kabisa na kutekwa kwa Ulimboka. Jamani msinidhuru. Tena cku hyo mm ckuwepo'.. David Mapunda

OC CID Kawe (Mkuu wa Upelelezi) David Mapunda amepata ajali ya gari akiwa amesimama nje ya gari lake (gari lilitokea na kumgonga). Amevunjika pelvis na licha ya jitihada za kukwepa kupelekwa Muhimbili alijikuta anaishia mikononi mwa Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI). Vyanzo vya ndani vya Intelligensia iliyokuhubu vinadokeza kuwa Afande huyo wa polisi amejikuta aki"sema" mengi kuhusiana na "kutokuhusika kwake" na tukio la utekaji nyara, kuteswa na jaribio la mauaji ya Dk Ulimboka.

Kwa mujibu wa "Nzi" ambaye amekuwa akiendesha uchunguzi "mbadala" wa kukusanya intelligensia ya suala hili:

Kumekuwa na doria za kila mara ndani na sehemu mbali mbali za wodi za MOI mpaka staff wamefikia kulalamika juu ya hilo japo maaskari hao wamekuwa wakijibu kwa jeuri kwamba wapo kazini.
Ndugu na jamaa wa afande huyo wamekuwa hawana amani kwa hofu kwamba ma-dr wanaweza kulipiza kile alichofanyiwa mwenzao Dr. Ulimboka. Kumekuwa na maoni mchanganyiko kutokana na kuweweseka kwa afande huyo na kuropoka ovyo. Wapo wanaodai kwamba ''amri ya Ulimboka kukaa zaidi ya masaa matatu katika kituo cha polisi Bunju ni kutokana na order alizotoa afande huyo kwamba akae na asipatiwe matibabu ya haraka''.

Haijulikani kama ajali yake ni tukio lililokusudiwa kumnyamazisha daima au ni ajali ya kawaida.

Ni matumaini yangu madaktari watamtendea kwa kadiri ya uwezo wao wote kuokoa maisha yake.

What goes around comes around malipo siku hizi ni hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom