JF Exclusive: Mauritius Leaks name Tanzania companies in tax avoidance

Hapana si kweli. Soma afisa wa TRA anasemaje kwenye post namba moja.

Walichpfanya si kosa.

Kama tunazitaka hizo pesa zibaki TZ tubadili tu viwango vya kodi nilishawahi kupendekeza ifanywe 10% across. Uone kama kuna mfanya biashara wa Tanzania ataanzisha offshore company. Tena tuta attract na wafanya biashara kibao wa njr ya Tanzania.

Mradi tuwe na ustahamilivu kama Mauritius. Si unaona hito article mabeberu wanavyoiandama?

Hakuna kosa hapo kwa kampuni za Tanzania hapo kuna "kosa" la kupikwa na mabwana wakubwa zenu. Pesa zilikuwa zinawekwa kwao sasa wanakasirika.
OK Sawa ila Faiza siku hizi umebadilisha pc au simu maana auto spelling inakukosesha sana.
 
Nikuonyeshe mimi wakati hata ripoti yenyewe hujaisoma? Wasomi wa kitanzania hao!!! Halafu huoni kama kuna swali limeulizwa kwanini siku chache baada ya RA kuibadilisha Mihani Gas na kuiita Taifa Gas, imenunuliwa na kampuni kutoka Mauritius? Taifa Gas kwani ya nani?

Acha mambo ya kujikunyata kunyata nyuma ya watu. Tafuta sehemu yako halafu utukaribishe tukuone. Kila uchao ukiona jina lenye dini yako, hutaki tuulize maswali hata kama yapo

The Panama Papers

At least 45 Tanzanian businessmen were exposed by the Panama Papers investigation that details the names of people and related companies with offshore accounts in territories that are known as tax havens.

Those included well-known businessmen and politicians. Their details were captured in both the Panama Papers and Paradise Papers, millions of documents leaked from the custodians of the information about the shadowy records of some of the world’s mighty leaders and business multinationals.

Among those names were business mogul, Rostam Aziz, Quality Group Limited CEO Yussuf Manji, politician and Member of Parliament for Morogoro – through ruling party, CCM - Abdul-Aziz Mohamed Abood, and the head of Kilimanjaro Safaris Eric Pasanisi.

cc: Faiza Foxy
 
Acha wivu na ushamba. Mwanaume anatafuta, anahangaika, wewe unataka pesa ikujie kitandani umelala? Tafuta za kwako. Mijitu mingine mijinga sana.
Poor mind!!!!!!
Suala la msingi kama hili wewe unalihusisha na mambo ya vijiwen?
Ina maana ukimkamata au kumbaini mwizi kwako utamwacha kisa anatafuta ???
Kwa taarifa yako hawa unaowabeza wanajua kutafuta pesa kuliko ukoo wako wote
 
Hapana si kweli. Soma afisa wa TRA anasemaje kwenye post namba moja.

Walichpfanya si kosa.

Kama tunazitaka hizo pesa zibaki TZ tubadili tu viwango vya kodi nilishawahi kupendekeza ifanywe 10% across. Uone kama kuna mfanya biashara wa Tanzania ataanzisha offshore company. Tena tuta attract na wafanya biashara kibao wa njr ya Tanzania.

Mradi tuwe na ustahamilivu kama Mauritius. Si unaona hito article mabeberu wanavyoiandama?

Hakuna kosa hapo kwa kampuni za Tanzania hapo kuna "kosa" la kupikwa na mabwana wakubwa zenu. Pesa zilikuwa zinawekwa kwao sasa wanakasirika.
Kweli Faiza foxy ,hapo hakuna kosa kisheria ,kosa ni jinisi ulivopata pesa za kuweka huko,je niza halali au ufisafi?
Mimi mwenyewe Kwa hali ya utitili wa kodi naona inasaidia sana.

Serikali ifanye mabadiliko kwenye kodi,biashara so rahisi hadi kuwa na utitili was kodi
 
U
Hebu niambie viwango vya kodi katika nchi zingine hata za dunia ya kwanza vikoje hasa corporate tax ukiachilia mbali hizo tax havens kama Mauritius, Virgin Islands, Isle of Man, Cayman Island and the like. Najua corporate tax/income tax rates duniani nyingi ni kati ya 25 na 45, ukiachilia mbali Tax Havens!
Kuna nchi ni 5%hadi 20%,Angola,Ireland,botswana and other
 
Important note: KPMG have many units, but the one special for offshore lines is called DEALS, is comprising experts in tax avoidance
 
Besides the point, but the first part - just before "The Companies" - could do with some editing.

Reading of the one company, Ubungo, their defense sounds plausible. Could they be lying? Did they actually receive the funds before re-registering as an NPE? Wataalamu wa uchumi mtudadavulie tafadhali. It would be such a shame if Ubongo Kids is found guilty of this. I love their work.

As I was reading this, I couldn't help recalling:
View attachment 1160047

Thank God after reading the article we now know why he’s on planning to sell to Mauritius!
 
How I wish Tanzania was also a tax haven countries. I am sure, it we could pull it in that direction, our beloved country and people won't suffer this much in poverty.

Unfortunately, we, as a nation, including our president, seems to love poverty and suffering.

We have seen time and again our president is singing the song of poverty and suffering, sinking it in our children's mindset, calling it us to join his war against the rich and the successful.

Nyerere was indeed better in words, by declaring a war on poverty, diseases, and stupidity. Unfortunately, his actions failed him and the nation.

Tax havens have no/limited tax base. That means the gov’t earns revenues through high commodity prices. Do you think Tanzanians will survive with high commodity prices?
 
34 Reactions
Reply
Back
Top Bottom